Recent content by mmy

  1. M

    JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu Kiongozi, tafadhali fumua sheria ya Recategorization ni kandamizi.

    Mimi niliajiriwa na diploma ya ualimu baadae nikaenda kusoma first degree niliporudi nikaandika barua ya kubadirisha muundo kwa maana nitambulike Nina degree kilichotokea wale wenzangu nilioanza nao kazi lakini hawakwenda kusoma wamepandishwa daraja na mishahara kurekebishiwa Mimi naambiwa...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Moto wa Magufuli umesambaa kote

    Mimi nimeripia tarehe 25 tarehe 27 wamekuja kufunga,asante magufuri
  3. M

    JamiiForums Tanzania CCM wakumbukeni wasanii walioshiriki kampeni

    walisharipwa chao,
  4. M

    JamiiForums Tanzania Ni Heka heka mitaani leo, walimu wamelipwa madeni yao yote + Posho ya Uchaguzi hatupumui

    usiseme madai yote usije ukawatia watu machungu,malimbikizo ya mishahara ambayo ndo deni kubwa halijalipwa,tuna hasira we acha tu
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mishahara imeingia kuanzia jana, kuna uhusiano na uchaguzi?

    kwanza watulipe malimbikizo ya mishahara yetu vinginevyo hatuwapi kura
  6. M

    JamiiForums Tanzania GE2015 Kinana aanza ziara ktk Majimbo 64. Magufuli aunda kikosi kazi... Mkapa, Kikwete nao wajipanga!

    wananchi tunataka mabadiriko hata kama aje Obama sisi huku vijijini tushajitambua wametudanganya sana sasa basi
  7. M

    JamiiForums Tanzania Idadi ya majimbo yanayoenda UKAWA 100% mpaka sasa

    tandahimba ukawa bado kuapishwa tu
  8. M

    JamiiForums Tanzania Magufuli apata wakati mgumu kwa wafuasi wa Lowassa mpele ya Macho ya wangalizi wa EU

    hapo hakuna ulichosema cha maana,ebu jiulize hiyo 3g wangapi wanatumia kwa tanzania hii?kuhusu nyumba za bati kwa miaka54 tulipaswa kuondoa nyumba za nyasi kwa walau50%ila nenda vijijini ukaone tembe zilivyo choka
  9. M

    JamiiForums Tanzania Taasisi ya Kiislam yatoa tamko dhidi ya Lowassa na Gwajima, kuhusu Uchaguzi Mkuu 2015

    hivi magufuri ameshawahi kutamka swala LA mahakama ya kadhi toka aanze kampeni?acheni propaganda hizo,mm in muislam na mwaka huu no mabadiriko tu,
  10. M

    JamiiForums Tanzania Lowassa azomewa na wanachama wa CHADEMA

    waondoke chamani na wao, kitu kikikukera unaachana nacho,kama alivyofanya dr wao
  11. M

    JamiiForums Tanzania LHRC yamtaka Dkt. Magufuli kufuta kauli zake

    mbona hata marekani na uingereza hubadilisha vyama,c atolee mfano huko,Libya hatufanani nao
  12. M

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa Mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA, Edward Lowassa kutoka Kigoma

    masasi ya wapi Mimi nipo masasi watu wanamsubir kwa hamu kubwa
  13. M

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa Mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA, Edward Lowassa kutoka Kigoma

    kwani alishakua raisi?
  14. M

    JamiiForums Tanzania Mbowe: UKAWA Tutaondoa Mashangingi Serikalini!

    kwani mbowe anagombea uraisi?
  15. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA njaa kali, kuanzia leo siwaamini tena, wapo kimaslahi zaidi

    lowasa si fisadi, kama unabisha toa ushahidi
Back
Top Bottom