Idadi ya majimbo yanayoenda UKAWA 100% mpaka sasa

Idadi ya majimbo yanayoenda UKAWA 100% mpaka sasa

Nafikiri baada ya uchaguzi tutarudi hapa kwenye hii thread mfano tu jimbo la kilosa ukawa mmesimamisha wagombea wawili chadema na cuf tayari imepunguza ushindi.
 
Uliposema solwa nikakuona wewe unaendeshwa na misukule ya lowassa
 
Napenda sana Solwa itoke mikononi mwa mwarabu maana hakuna anachofanya katika jimbo hili zaidi ya kufungua njia zake za biashara za nje kupitia mgongo wa serikali ila wasukuma wenzagu hapa solwa kwa ujumla kawalesha nguo, chumvi, pombe, kahawa, na jeupe moja moja.
Sidhani kama atatoka huyu mwarabu. Solwa inaweza kuwa jimbo la mwisho kabisa kwa maendeleo hapa nchini.
 
Uliposema solwa nikakuona wewe unaendeshwa na misukule ya lowassa

Mihemko unaijuabyote, Wiki iliyopita mimi nilikuwa huko napiga kazi, maeneo ya Pandagichiza, Sayu, Shilabela, Mwamadilana vijiji vyote kuelekea Iselamagazi ni Chadema tu, wewe na huyu mwarabu wako mwaka huu mikie mtailaza nje
 
So Dar Ukawa watapata
Ukonga
Segerea
Kigamboni
Ilala
Kinondoni
Ubungo
Kibamba
Mbagala
Temeke

Only Kawe ndio UKAWA hawatashinda?
 
Mkuu Kigamboni Ndungulile yupo vizuri ...Yule mama wa ukawa hana nguvu...
 
Napenda sana Solwa itoke mikononi mwa mwarabu maana hakuna anachofanya katika jimbo hili zaidi ya kufungua njia zake za biashara za nje kupitia mgongo wa serikali ila wasukuma wenzagu hapa solwa kwa ujumla kawalesha nguo, chumvi, pombe, kahawa, na jeupe moja moja.
Sidhani kama atatoka huyu mwarabu. Solwa inaweza kuwa jimbo la mwisho kabisa kwa maendeleo hapa nchini.
Mimi in mkaazi wa solwa nigependa iwee hivyo lakini tatizo kubwa no lowassa
 
arumeru mashariki

arumeru magharibi

arusha mjini-uchaguzi umesongezwa mbele

babati mjini

babati vijijini

mbulu

simanjiro

monduli

karatu

mvomero

mikumi

morogoro mjini

kilosa

momba

mbozi magharibi

mbeya mjini

iringa mjini

hai

same magharibi

same mashariki

rombo

moshi mjini

ubungo

kibamba

kisarawe

mtama

ilala

kigamboni

kinondoni

temeke

segerea

igunga

tabora mjini

dodoma mjini

mpwampwa

nyamagana

ilemela

ukerewe

kwimba

sengerema

magu

tarime

musoma mjini

bunda

lushoto-ingawa uchaguzi umesogezwa mbele

mwanga

-bukoba mjini

-misenyi

-muleba

-chato

-jimbo la antony mbassa

-shinyanga mjini

-kishapu

-maswa magharibi

-maswa mashariki

-solwa

-kigoma kusini

-muhambwe

-kigoma kas

-bariadi

-kahama

-msalala

-singida mjini

-singida mashariki

-singida magharibi

-urambo

-mpanda

--sumbawanga

--jimbo la agripina buyogera

--tarime vijijini

--serengeti

butiama

kawe

-musoma vijijini

-mafia

-mtwara mjini

-ndanda

-nanyumbu

-masasi

-mbagala

-moshi vijijini

-vunjo

-bukombe

-ukonga

hii ni idadi ya majimbo ya uhakika 100% yanaenda ukawa yanaendelea kuongezeka kadri siku zinavyoenda

unaota ndoto za mchana ebu stukaa wewe tukutane october 25 #hapakazitu 💪
 
Tandahimba, Newala, Lindi Mjini, Tanga Mjini, kule kwa Cheyo, Pale kwa Chenge..
 
kwani uongo uko wapi hapo?? tunapiga kura na kuzilinda

Punguza ushabiki, usifikiri kutengeneza story kutakuongezea credit.List yako inaonyesha Ukawa wanachukua majimbo yote Dar,Moshi,Arusha,Manyara.Kuna mikoa mingine umeitaja hapo Ukawa hawatapata mbunge hata mmoja mingine watapata at least mbunge mmoja au wawili
 
Kwani kama ni ukweli usisemwe hata kama ni mikoa yote,?? we uroho wa kufisdi uliouzoea unakusumbua , inakuuma kuona kitumbua chako cha sadaka kinadodoka
 
Iramba kagharibi, manyovu, mhambwe(kibondo),kigoma mjini ,kigoma kaskazini, ilemela,nzega,tabora mjini , ,
 
Back
Top Bottom