MaCCM bana yana yanajipa moyo na hoja za kipuuzi za NchimbiKwani hii ni mara ya kwanza kwa CCM kukana?Kwani ishu za Buzwagi iliyopelekea Zitto kufukuzwa Bungeni ilikuaje si mliishia kuaibika na baadaye kwa kuona aibu mkaanzisha huo upuuzi wenu sijui kuvuana magamba au sio nyie?Kuna baadhi ya...
Magamba mnamshangalia mtu mwongo kama Nchimbi kama kwamba mmeshinda tayari kwa hiyo hoja yake dhahifu kabisa ya leo!He he he!Shughuli bado mbichi kabisa hii,Kumbukeni hawa watu Halima Mdee,Zitto Kabwe,Mnyika,Lissu hawajapata nafasi bado ya kuwaanika Wahalifu halisi wa Rasilimali za Nchi...
Hivi kama kweli Elimu yako unaitendea HAKI hata kama wewe ni Mwana Magamba damu na umeichambua kwa makini ile Pre-emptive argument ya Nchimbi utakubaliana na mimi kwamba UTETEZI wake ni dhaifu mno.Ukweli ni huu na ambao hamuwezi kuukwepa kwamba Kinana anajua kila kitu kama mmiliki wa ile Meli...
Kuibiwa kwa Waziri flani na Changudoa aliemuokota Mtaani kule Morogoro katika Hotel flani pia ulikuwa uzushi wa CHADEMA nahisi Mchimvi uuuuups kumbe Nchimbi na hili pia atalitolea Ufafanuzi kule Bungeni!
Kuibiwa kwa Waziri flani kule Morogoro katika Hotel flani pia ulikuwa uzushi wa CHADEMA nahisi Mchimvi uuuuups kumbe Nchimbi pia atalitolea Ufafanuzi kule Bungeni!
Taratibu nyie Magamba pamoja na kwamba Makinda anawabeba live ila bado hamjataka na hii kashfa,Kwanini Makinda hataki kuulizia Ushahidi kama ilivyo kawaida yake,Ana Mabosi wake watavuliwa nguo mchana kweupe!
Hoja za Nchimbi juu ya utetezi wake kwa Katibu wake wa Chama Ndg Kinana na CCM kwa ujumla ni nyepesi mno.Hoja ni hii hainiingii akilini kwa mmiliki wa Meli hiyo asiwe na taarifa kuhusiana na kilichomo katika kontena huo ni uwongo,Nchimbi asitufanye sisi wajinga lakini atafanye na Chama cha ndo...
Hivi wewe SUMU kwa akili yako hiyo unadhani hii Nchi ina Amani?Hebu fikiria mara mbili kama wale Wakazi wa Mtwara,Mbeya na Lindi na wao wangekuwa wanamiliki silaha hali ingekuwaje wakati wa zile vurugu au mna tatizo la Selective Memory?
"Ofisi ya Spika imekuwa kama Kaburi kwa kukalia ripoti nyingi za Kamati bila kuzifanyia kazi" Mchungaji Msigwa,Msemaji Mkuu wa Kambi rasmi ya Upinzani.
"Subirini tu kuna mengi mtayasikia kutoka kwao" Spika Makinda akimaanisha Wabunge wa CCM wajiandae kusikia mengi kutoka katika Hotuba ya...
Leo ndo nimeamini kuwa wengi mnaoshabikia CCM mmeachwa mbali sana kiufahamu na Dunia hii ya leo iliyojaa ushindani na inayokimbia kwa kasi kubwa na tukienda kwa mwendo huu wa kiuelewa kama huu wa watu wa CCM hakika tutaachwa nyuma sana na wenzetu.Mr SUMU nadhani hujaelewa kile alichokuwa ana...
Kwa uelewa wangu mdogo kuhusu Utawala wa Majimbo nina imani Asili ya Mikoa hiyo itabaki kama ilivyo na sio Mikoa hiyo tu hata mingineyo pia.Kwa ninivyofahamu Mfumo wa Majimbo huenda sambamba na kurudishwa kwa hadhi ya tawala za Kimila ambazo ni muhimu katika kufufua Mila,Desturi na Tamaduni...
Kwa upande wangu naona Mfumo wa Majimbo ni bora zaidi kwasababu chini ya Mfumo huu kila Jimbo litaweza kutumia asilimia kubwa ya Rasilimali zake pamoja na Mapato yatokanayo na kodi za biashara za aina zote kubwa,za kati na ndogo kwaajili ya Maendeleo ya Jimbo husika,Pia chini ya Mfumo huu kiasi...
Kumbe,Yawezekana kabisa JK anataka kuigeuza Kanda ya Pwani(dar es salaam,pwani na morogoro) kuwa kanda yenye nguvu kubwa kiuchumi hapa Tanzania,Kuna kila dalili.Pwani Bandari kubwa kabisa katika ukanda huu wa Afrika Mashariki na Morogoro Kituo kikubwa na cha kisasa kabisa cha Mabasi makubwa ya...
Watanzania kazi tunayo mbona na history ya kuchakachua,Ndo maana Mwalimu mmoja wa History pale Kigurunyembe Secondary School alikuwa hapendi kufundisha somo la History ya Tanzania akidai imejaa upotoshaji kwa kiwango cha kutisha mwanzoni sikumuelewa lakini kwa haya ninayoyaona hapa sasa...
Hivi kati ya Mbunge Godbless Lema,Mzalendo mwenye uchungu na Nchi hii inayofilisiwa na Mafisadi na yule Katibu wa Chama fulani cha Siasa anayesemekana kujihusisha na Biashara haramu ya Meno ya Tembo nani ni hatari kwa Taifa hili?Na nani alipaswa kuwa Selo mida.Akili za magamba bwana zimekaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.