Recent content by mmteule

 1. M

  Kutoka Mwanaspoti: Aussems: Nilipogoma kupangiwa kikosi shida ikaanza

  Kweli huyu kocha ni Proffessa, hadi TFF imepewa shule humo
 2. M

  Kupanda treni kwenda Moshi ni kujidhalilisha

  Hiii post yako inaweza kuwa kituko cha kufungia mwaka
 3. M

  Mwandishi wa Kwizera Fm George Bahamu atupwa porini

  Mwambieni aache uongo huyo. Mtandao wa Tigo kwa Tabora haujawahi kupatikana nje ya Mji. Sasa hapo anawazuga yuko Porini halafu eti hiyo namba ya Tigo ipatikane hewani?????? Kwa mnara upi????? Huuu nao ni UNONDO mwingine huyo aangaliwe vizuri.
 4. M

  Wabongo mpooo! !!

  Wale mamluki wa Kagame aliokuwa anawapigia kelele mzee Mtikila kwa mbaaaali nawaona kwenye huu uzi. Kagame Kagameee nendeni kwenye forum za Rwanda msitujazie Server kisa huyo basha wenu.
 5. M

  Bizarre and wierdest tribes in the world and their popular culture

  Sijaona ile ya Masai kutairi dushe linabaki na tai ya kutekenyea. Sijaona ya Wakurya kutairi bila ganzi.
 6. M

  Zinahitajika tani 2000 za mahindi

  Hata Sumbawanga kwenyewe mahindi Kg. 750/= Sasa uyafikishe Dar kwa 800/= hiii ni ngumu sana. Labda uyapate huko Karatu na Kibaigwa kwa upande wa Nyanda za juu Kusini hapana.
 7. M

  Nahitaji gari kubwa la kukodi

  Lile zuio la kutosafirisha Korosho limeondolewa Mkuu, angalia usije kutaifishwa korosho zako na gari la member mwenzetu pia likachukuliwa na Serikali. Note it
 8. M

  Je unaamini katika uchawi na ulozi? utajiri wa kichawi?

  Utajiri ni fumbo Mkuuu. Lkn "Kama unaamini utajiri ni baraka za Mungu basi amini na umasikini ni hivyo pia." By Chizzodrama of JF
 9. M

  Mwezi Novemba ulikuwa mbaya kwa makocha, bora Disemba imeanza!

  Desemba pia ni sheeda. Desemba Mosi - Olle wa Man U Out. Next........
 10. M

  Wauaji wakuu wa biashara Tanzania Ni TRA na wapangisha fremu au majengo ya biashara. Serikali iwashughulikie

  Mkuuu jaribu kumiliki biashara hata ndoooogo utamwelewa mleta mada. Wamiliki wa Fremu za Biashara ni majanga hao TRA ni msiba hakuna comment
 11. M

  Tatizo nini, mzazi mwenye familia kula migahawani au vibanda vya chipsi na hayupo mbali na nyumbani?

  Pumbavu sana wazazi wa aina hiii. Unakuta Jibaba lina Kitambi Mavi halafu Vitoto vina UTAPIAMLO fedheha sana shwain mibazazi ya aina hii. Yale yale unakuta Mzeee kapiga suti, iphone kiganjani, Rolex kwa mkono lkn watoto nguo matako nje njeee.
 12. M

  Afisa Utumishi Wizara ya Madini

  Tumefahamu kwamba uko Wizara ya Madini Mkuu hongera. Lkn umeshindwa kujua kwamba malalamiko madooogo kama haya sehemu ya kazi unayawasillisha wapi, kwa ufupi wewe ni limbukeni sana, badilika utakuja kusimamia kichwa.
 13. M

  Jinsi ya kubadilisha namba ya gari

  Huu utata hauwezi kuleta suluhu kweli...? Mzee Muro wa Tzie akiuza gari yake Namba T 100 BXL kwa Okumu wa Mombasa kule Kenya gari itapata usajili Mpya, then baadae Okumu akaamua kumuuzia gari hilohilo Simba Mtoto wa Tanzania hapo gari itasajiliwa kwa namba za Tanzania Je, litapewa namba mpya au...
 14. M

  Leo kwa mara ya kwanza nimempiga muhindi

  Acha kucheza kamari ni Laaana hiyo.
Top