Recent content by Mmole Mix Shop

  1. Mmole Mix Shop

    JamiiForums Tanzania CHWs wa Ruangwa Tunaomba Ufafanuzi Kuhusu Malipo ya Posho na Upatikanaji wa Vifaa vya Kazi

    Ndugu wanajukwaa, Naandika ujumbe huu kwa niaba ya baadhi ya Wahudumu wa Afya ya Jamii (CHWs) wa Wilaya ya Ruangwa, Mkoa wa Lindi, ili kuwasilisha kilio chetu kuhusu changamoto zinazotukabili katika utekelezaji wa majukumu yetu. CHWs tumekuwa tukifanya kazi kubwa ya kuelimisha jamii kuhusu afya...
  2. Mmole Mix Shop

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Wahudumu wa afya ya jamii(CWH) wilaya ya Ruangwa hawajapewa vifaa, hawapewi stahiki zao na kazi wanafanya

    Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania iliandaa wahudumu wa afya ya jamii kwa kuwagharamia mafunzo yaani Ada, malazi chuoni na chakula na kila kitu kuhusu mafunzo hayo. Baada ya kumaliza wahitimu wanatakiwa kupewa vifaa vya kufanyia kazi kama baiskeli, vishkwambi na vifaa vingine...
  3. Mmole Mix Shop

    JamiiForums Tanzania Ni lini waliochaguliwa wataenda vyuoni?

    Mbona haifunguki
  4. Mmole Mix Shop

    JamiiForums Tanzania Ni lini waliochaguliwa wataenda vyuoni?

    Kuna mchakato ulipita wa kuwapata watu watakao pata mafunzo na baadae kuwa wahudumu wa Afya ngazi ya jamii kwa ile mikoa kumi ya kwanza. Sasa nataka kujua ni lini Hawa waliopatikana wataenda mafunzoni?
  5. Mmole Mix Shop

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia atoa maagizo ya Simba dume wa Kizimkazi kupewa jina la Tundu Lissu

    Lengo wamueke bandani nae.
  6. Mmole Mix Shop

    JamiiForums Tanzania Kazi za afya ngazi ya jamii

    Hivi mpaka leo haijajulikana ni lini waliochaguliwa wataenda vyuoni. Mana mimi ni miongoni mwa waliochaguliwa lkn nipo nipo tu sielewi chochote,
  7. Mmole Mix Shop

    JamiiForums Tanzania Welcome me please

    Hodi hodi, nimekuja kujoin nanyi
Back
Top Bottom