Hivi ni kweli athari za uvujishaji mitihani katika Jamii huijui au unaongea kishabiki mkuu.
Zingatia kizazi tunachokiandaa
Zingatia tutakuwa na Viongozi wa Aina gani
Zingatia tutakuwa na Watendaji wa Aina gani
Zingatia pia taifa litakuwa katika hali gani.
Yote yanayofanyika lazima yatuhusu...
Hivi kama shule Kata Na Wilaya unayofanya kazi ikawa Ina utamaduni wa Kuvujisha Mitihani ya Ndani ya wilaya Ya Mkoa na Hata mitihani ya Taifa.
Unatakiwa uchukue Hatua gani??
Na ukizingazia Wilaya nzima unakuta ndio michezo huo huo.
Naomba nielezeee kidogo shida zake japo kwa uchache.
1.Alishawahi kuwaambia Walimu Kwenye Semina ya mtihani wa Darasa la nne Watoke kwenye Semina kama wanaona hela ni kidogo.Malipo waliyotajiwa walimu hayakuwa ya kawaida kama siku zote kiasi kwamba ilihitajika Busara kuwaelekeza ila yeye...
Huo ndio ukweli ndugu kama shida ni barua toka Wizarani mbona kuna Jamaa Aliachwa pale Wilayani na % kubwa walioondolewa ni wanawake akiwemo huyo Johari na Mdada mmoja Alikuwa Afisa elimu Taaluma no 2 akiitwa Magreth.....
Ni wazi huyo Afisa ana huo ujinga.
Hujui ndugu Afisa Elimu hyo wilaya ni Muhuni saana anapenda mambo yamuendee kwa upande wake ila sio mwalimu.
Ni mtu wa ubabe saaana utasema sio mwalimu.
Kuna kipindi aliwaambia walimu watoke kwenye semina kama wanaona hela ni kidogo tofauti na Afisa Elimu aliye staafu katika hyo wilaya alikuwa...
Huyo Afisa Elimu pia hata mimi kwa mwaka Ulioisha baada ya kutoka masomoni alimlazimisha Mwalimu mkuu Kupitia kwa Afisa Elimu Kata tuombe kuhamishwa kituo ili tupewe Uwalimu mkuu kinyume na Taratibu za kazi pale unapoamua Kumpa mtumishi PROMOTION yake.
Kwa kifupi Mahinda hafai kuongoza Walimu...
Habari wadau naomba kufahamishwa kampuni inayosafirisha mizigo kwa njia ya meli toka China hadi Zanzibar kuna mzigo wangu nataka niupitishie huko.
Msaada wadau.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.