Recent content by mmingano

  1. M

    JamiiForums Tanzania Bukoba: Msimamizi atimka na vifaa vya kupigia kura

    Alete vifaa vingine wasizingue
  2. M

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Kikwete imeharibu kabisa ufungaji wa kampeni za Magufuli

    Hotuba tena hata akiongea nani lowasa ndo habari yenyewe
  3. M

    JamiiForums Tanzania CCM kufunga kampeni zake kisasa zaidi

    Mleta mada mbona mbona umeandika mipasho ya taarabu
  4. M

    JamiiForums Tanzania Dr. Mwakyembe afunguka kuhusu Richmond na dhamira yake kugombea Ubunge tena - Oktoba 23, 2015

    Kwa nini mwakyembe achukie utajiri wa lowasa? Kwa ufupi mwakyembe huna jipya kura yangu in lowasa nachukia umasikini
  5. M

    JamiiForums Tanzania Vijana kuvalishwa sare za CCM na kujifanya kurudisha kadi -Arusha

    Weka picha kama kweli
  6. M

    JamiiForums Tanzania Ujumbe maalum kutoka kwa Dr. Magufuli

    We makufukuli kura yangu hupati mwambie akupigie bulembo
  7. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA badilisheni Mfumo wenu uendane na mgombea urais

    Usiwe na akili za tope eti gwanda kwani ni lazima lowasa avae gwanda usiwe na akili ndogo
  8. M

    JamiiForums Tanzania UKAWA vs CCM katika urais, piga Kura hapa

    Lowasa
  9. M

    JamiiForums Tanzania Mbatia ashindwa kuhutubia mkutano Mtwara baada ya kuhofia kipigo kutoka kwa wananchi

    Acheni uzushi jamani ccm mnajipa matumaini na mtwara ukweli ni kuwa ulikuwa ni mkutano uliandaliwa na wasanii wanaomuunga mkono lowasa walikuja kuhamasisha juu ya kumchagua lowasa acheni kupotosha gambazi mtalia kilio cha mbwa octoba25
  10. M

    JamiiForums Tanzania UKAWA tulieni, mbinu watumiazo CCM hizi hapa

    NI kweli bila chembe ya shaka
  11. M

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa avuliwa nguo, dili alilipanga Josephine. Alonga na Mwakyembe kabla hajaingia kwenye mkutano

    Jamani nipeni msaada mwenye taarifa ya kwenye gazeti LA mawio haiweke humu tuisomee
  12. M

    JamiiForums Tanzania YALIYOJIRI: Mkutano wa Ufunguzi wa Kampeni za CCM - Viwanja vya Jangwani, Dar-es-Salaam

    Ngoja jf wenyewe waje wajibu.hivi UKAWA wanazindua kampeni jamani
  13. M

    JamiiForums Tanzania YALIYOJIRI: Mkutano wa Ufunguzi wa Kampeni za CCM - Viwanja vya Jangwani, Dar-es-Salaam

    Warioba nae anaongea pumba zake jamani huyu mzee alistahili kubaki kwake
  14. M

    JamiiForums Tanzania YALIYOJIRI: Mkutano wa Ufunguzi wa Kampeni za CCM - Viwanja vya Jangwani, Dar-es-Salaam

    Nimeshangazwa sana baada ya ccm baada ya kujadili hoja zao wanakuja kuwajadili akina lowasa na sumaye hawa jamaa ni kweli wamevurugwa sana kuanzia Leo sina Imani na ccm hawana akili ni kweli chama kimechoka sana kinahitaji kupumzika viva ukawa
  15. M

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Agosti 4/2015 katika Mkutano Mkuu wa CHADEMA Ukumbi wa Mlimani City, DSM

    Chadema na UKAWA hadi raha ama kweli ni mpango WA mungu
Back
Top Bottom