Bukoba: Msimamizi atimka na vifaa vya kupigia kura

Sexer

JF-Expert Member
Oct 22, 2014
8,216
7,907
Wakuu hapa Bukoba Kashai hali si shwari baada ya msimamizi wa uchaguzi kata ya Kashai ajulikani alipo pamoja na vifaa vya kupigia kura.

Mkurugenzi anasema yeye kashakabidhi vifaa vyote.
 
Wakuu hapa bukoba kashai hali si shwari baada ya msimamizi wa uchaguzi kata ya kashai ajulikani alipo pamoja na vifaa vya kupigia kura, mkurugenzi anasema yeye kashakabidhi vifaa vyote

Penzi kitovu cha uzembe ngoswe
 
Back
Top Bottom