Ujumbe maalum kutoka kwa Dr. Magufuli

Ujumbe maalum kutoka kwa Dr. Magufuli

Sadoseba

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2013
Posts
243
Reaction score
92
Mimi ni DKT. JOHN POMBE MAGUFULI Mgombea URAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM.

Naomba KURA kwa kila MTANZANIA mwenye hofu ya MUNGU anayechukizwa na UFISADI, TAMAA na UCHU wa MADARAKA.

Dhamira yangu ni kuifanya Tanzania yenye NEEMA na MAENDELEO kwa watu wote bila kujali DINI, KABILA, UKANDA wala CHAMA.

Ewe Mwananchi nichague DKT. JOHN POMBE MAGUFULI kuwa Rais wako wa awamu ya 5.

Tuma ujumbe huu kwa watu 100 tu nitawalipa UTUMISHI uliotukuka na wa kumpendeza MUNGU.

"HAPA KAZI TU" kama ilivotumwa
 
Kura ya kwanza ni ya kwangu!!
# Hapa kazi tu.!
 
Mgombea wa urais wa CCM tunamfaham, wewe ni nani?
 
Push-up zako hazijanishawishi kukupigia kura! Umeshindwa kumwongoza mkeo mmoja tu, utawezaje kuongoza taifa????? Kajifunze kwanza kumwongoza mkeo, halafu jaribu tena 2020. Kwa sasa Rais ni Lowassaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!
 
Sikupi kura yangu kwa sababu uchu na ufisadi vimekujaa
 
Mimi ni DKT. JOHN POMBE MAGUFULI Mgombea URAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM.

Naomba KURA kwa kila MTANZANIA mwenye hofu ya MUNGU anayechukizwa na UFISADI, TAMAA na UCHU wa MADARAKA.

Dhamira yangu ni kuifanya Tanzania yenye NEEMA na MAENDELEO kwa watu wote bila kujali DINI, KABILA, UKANDA wala CHAMA.

Ewe Mwananchi nichague DKT. JOHN POMBE MAGUFULI kuwa Rais wako wa awamu ya 5.

Tuma ujumbe huu kwa watu 100 tu nitawalipa UTUMISHI uliotukuka na wa kumpendeza MUNGU.

"HAPA KAZI TU" kama ilivotumwa

Sundi Malomo yule kimada wako uliyemgawia nyumba ya Wavuja jasho mnaowaita wapumbavu na malofa ndio umwombe akupe kura.Pia mdogo wako Mussa Magufuli na wale uliwapa nyumba zetu kama peremende ndio wakupigie kura.Nina hasira nawe vibaya mno!!LOWASSA ANATOSHA.
 
Mimi ni DKT. JOHN POMBE MAGUFULI Mgombea URAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM.

Naomba KURA kwa kila MTANZANIA mwenye hofu ya MUNGU anayechukizwa na UFISADI, TAMAA na UCHU wa MADARAKA.

Dhamira yangu ni kuifanya Tanzania yenye NEEMA na MAENDELEO kwa watu wote bila kujali DINI, KABILA, UKANDA wala CHAMA.

Ewe Mwananchi nichague DKT. JOHN POMBE MAGUFULI kuwa Rais wako wa awamu ya 5.

Tuma ujumbe huu kwa watu 100 tu nitawalipa UTUMISHI uliotukuka na wa kumpendeza MUNGU.

"HAPA KAZI TU" kama ilivotumwa

Piga pushup kwanza hapa hapa. Maana ndo sera yako.

Tulimwamini kikwete akatuletea majanga, sasa na wewe unajipya gani? Embu kaa kushoto huko. Ungekuwa na sera ungetembe na wana fiesta kwenye mikutano yako? Niko kumpigia kura hata dovutwa kuliko Magufuli na ccm yake.
 
Wanafanya vikao uciku na mchana dr.slaa ; lipumba, mangulwa na wenhineo wanakutana hills kila siku na hata ss wako kny vikao vya kuvuruga kura lakini watanzania hawataki ccm. Pia waangalieni hawa. Watasababisha vita.
 
Hapa ni Lowassa tu.We Magufuri labda tuzo ya mazingaombwe ndo tutakupa.
 
Mimi ni DKT. JOHN POMBE MAGUFULI Mgombea URAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM.

Naomba KURA kwa kila MTANZANIA mwenye hofu ya MUNGU anayechukizwa na UFISADI, TAMAA na UCHU wa MADARAKA.

Dhamira yangu ni kuifanya Tanzania yenye NEEMA na MAENDELEO kwa watu wote bila kujali DINI, KABILA, UKANDA wala CHAMA.

Ewe Mwananchi nichague DKT. JOHN POMBE MAGUFULI kuwa Rais wako wa awamu ya 5.

Tuma ujumbe huu kwa watu 100 tu nitawalipa UTUMISHI uliotukuka na wa kumpendeza MUNGU.

"HAPA KAZI TU" kama ilivotumwa

Mgombea binafsi.
 
Back
Top Bottom