Huo ni mtizamo wako mfupi.Ukisema CDM hawana kitu unamaanisha nin?kwani CCM wana nini cha zaida, wao wana serikali ambayo inahitaji upinzani wa dhati ili irekebisha pale ambapo hapajanyooka..CDM ndo wameleta hayo yanayofanyika sahv.
Kuna suala la katiba ni ajenda na.1 ya UKAWA kwa , pia JPM ategemee kupewa makubwa zaidi ya hayo.Upinzani bado unahitajika sana kuliko kipindi kingine.
Watatupa wakati mgum tu.Hospital huwa hamnaga dawa huwa zinapatikana nje karibu sasa maduka yakipelekwa ttapata mbali bure bora wayaache ili yafe yenyewe tu
Kura yang kwa Lowasa sabab no mfuatiliaji mzur, mwana diolomasia pia tutakomesha tabia ya maccm jujona wote sis ni wajinga tu, wakudanganywa tu.CCM must go
Tunawatakia kila la heri kwenye safar yao hiyo, wameshachelewa km walikubaliana muda kwanin waibuke Leo?CCM mtatapatapa sana sisi tulishaamua mapambano ni mbele kwa mbele.!
Sisi tulishafanya maamuzi kitambo, Tar 25/10 asubuh tunaenda kuhitimisha porojo.Nipo kijijini lakn Nina zaid ya watu 100 kura zooote kwa UKAWA haina mjumbe,diwani,EL ni UKAWaAAAa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.