Habari zenu wanajanvi
Mimi nilikua Mpenzi Mkubwa sana wa Star Tv, kutokana na vpindi vyao vingi vilikua Fair na vya kuelimisha.
Nilikua sijui kama kuna siku watanidisappoint kama wakati huu ninapowahitaji zaidi wanipe habari kwa ufair niliouzoea.
Nashangaa kuona vipindi vyao viko One Sided tu, wanaipendelea CCM pekee, kana kwamba hakuna Vyama vingine.
Hivi sheria zinasemaje kuhusu Vyombo vya Habari kua na Upendeleo?
Au Star TV ni Television ya CCM na je ilisajiriwa kama mali ya CCM?
Naapa mbele yenu hata baada ya Uchaguzi Sitaitazama Star TV
habari zenu wanajanvi
mimi nilikua mpenzi mkubwa sana wa star tv, kutokana na vpindi vyao vingi vilikua fair na vya kuelimisha.
Nilikua sijui kama kuna siku watanidisappoint kama wakati huu ninapowahitaji zaidi wanipe habari kwa ufair niliouzoea.
Nashangaa kuona vipindi vyao viko one sided tu, wanaipendelea ccm pekee, kana kwamba hakuna vyama vingine.
Hivi sheria zinasemaje kuhusu vyombo vya habari kua na upendeleo?
Au star tv ni television ya ccm na je ilisajiriwa kama mali ya ccm?
naapa mbele yenu hata baada ya uchaguzi sitaitazama star tv
Dada usijali sana...hata marekani huwezi kukuta Fox News inaelezea story nzuri za Democrats..kama jinsi ilivyo hapa Tanzania huwezi kusikia ITV au chombo cha habari cha yule Mchagga R. Mengi kinatoa story nzuri za CCM.
Habari zenu wanajanvi
Mimi nilikua Mpenzi Mkubwa sana wa Star Tv, kutokana na vpindi vyao vingi vilikua Fair na vya kuelimisha.
Nilikua sijui kama kuna siku watanidisappoint kama wakati huu ninapowahitaji zaidi wanipe habari kwa ufair niliouzoea.
Nashangaa kuona vipindi vyao viko One Sided tu, wanaipendelea CCM pekee, kana kwamba hakuna Vyama vingine.
Hivi sheria zinasemaje kuhusu Vyombo vya Habari kua na Upendeleo?
Au Star TV ni Television ya CCM na je ilisajiriwa kama mali ya CCM?
Naapa mbele yenu hata baada ya Uchaguzi Sitaitazama Star TV
Habari zenu wanajanvi
Mimi nilikua Mpenzi Mkubwa sana wa Star Tv, kutokana na vpindi vyao vingi vilikua Fair na vya kuelimisha.
Nilikua sijui kama kuna siku watanidisappoint kama wakati huu ninapowahitaji zaidi wanipe habari kwa ufair niliouzoea.
Nashangaa kuona vipindi vyao viko One Sided tu, wanaipendelea CCM pekee, kana kwamba hakuna Vyama vingine.
Hivi sheria zinasemaje kuhusu Vyombo vya Habari kua na Upendeleo?
Au Star TV ni Television ya CCM na je ilisajiriwa kama mali ya CCM?
Naapa mbele yenu hata baada ya Uchaguzi Sitaitazama Star TV
We muumini wa Mbowe..South Africa ni moja ya nchi hapa Africa iliyopata uhuru mwishoni kabisa and yet, iko mbele sana kimaendeleo! Hii pekeyake itakulazimu urudi kwenye historia ujaribu kupata jibu la kwanini nchi za africa bado maskini.. sitaongea mengi, nakishauri tu uruhusu oxygen humo kichwanikwako ili huo ubongowako ufanye kazi ipasavyo la sivyo utakuwa kichekesho mjini