We msaliti! Nape na jerry nao ni vijana? Na wewe Juliana ni kijana. Mbona miaka yote tumekaa ccm lakini hakuna lolote? Uongo mtupu ccm ni kudanganyana na kuuwa vijana wa upinzani hili kupewa ukuu wa wilaya. Vijana wapo upinzani
Hongereni chadema kwa ushindi mnono dhidi ya wanadhani kalenga itatawaliwa na ukoo mmoja tu, arumeru walikataa kutawaliwa kifalme baada ya waziri wa fedha jeremia sumari kufariki wakadhani wamzawadie mtoto wa marehem uongozi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.