Recent content by Mmbwanga

  1. M

    Baunsa (Body Builder) wa Calabash Anaongoza kwa Kuomba Kinywaji

    Mkuu kweli. Mjini watu hawalalamiki, omba tu kuchukua fesibuku ya bure
  2. M

    Mengi: Prof. Muhongo ni muongo

    Akili ndogo kazini
  3. M

    Jerry Silaa azidi kuiponda CHADEMA, awaita wavuta bangi

    halafu unajua ni kweli hawafanani, kosa ni kuwafanisha, Bora Mapimbi kina Lema kuliko Ubwabwa Jerry
  4. M

    Hamisi Kigwangalla ni-tayari kwa mdahalo na mtu yeyote yule!

    HK ni miongoni mwa wana CCM wengi wenye uwezo wa kawaida sana. Juzi hapa kaambiwa na Wakili msomi TL kwamba hoja yake is not well thought. Akapanic akaja kumtukana TL ili apate umaarufu. Kuonyesha umburula akamtangaza TL kama adui wa vijana. Who is HK kuwasemea vijana? By the way vijana wana...
  5. M

    Mnyika huwezi vita binafsi na Kikwete

    Jamani Kikwete sio dhaifu ila ni Shujaa aliyedhoofika. Nadhani hiyo haijavunja kanuni
  6. M

    UJIO WA MILLYA CHADEMA: Hitaji la mifumo imara ya kitaasisi

    Ndugu yangu Mozila...CCM ina sura ua dubwana kubwa kitasisi...imejisimika katika siasa za nchi kwa muda mrefu na kwa rasilimali nyingi za halali na haramu...iko madarakani kwa sababu halali na haramu... Kuliondoa dubwana CCM sio kazi rahisi....nikubaliane haraka yeye sio wa kwanza...
  7. M

    UJIO WA MILLYA CHADEMA: Hitaji la mifumo imara ya kitaasisi

    Habari iliyotapakaa katika corridor za habari za siasa ni kujiuengua kwa Millya toka CCM na kuhamia CDM. Habari yenyewe inachokonoa mjadala kwa sababu zifuatazo 1. Millya alikuwa difficult person from his party (Rejea kesi yake na Sendeka na ugomvi wake wa kudumu na makundi mengine ndani...
  8. M

    Maoni yangu dhidi ya "Baadhi ya wananchi wahuni" wa Arusha kujaribu kuzuia wanahabari wa TBC

    Mwandishi angeweza kupata uhalali kwa kujitofautisha na anaowaita "baadhi ya wahuni". Kadri anavyojibizana na watu humu, anaonesha tofauti ya kiwango cha uhuni. Kwanza nikiri si halali kwa mtu/watu kuzuiawengine kufanya kazi, hii si halali kwa mwandishi wa StarTV, BBC, TBC vile vile si sawa...
  9. M

    Samwel Sitta: Siyoi Sumari hakuwa Chaguo la wanaCCM

    Sitta aache unafiki na utoto...wote ni wamoja na unganiko lao ni la imani na maslahi. Kama kweli amesema, maadili ingekuwa mojawapo ya mambo ndani ya CCM alipaswa kuwajibishwa
  10. M

    CHADEMA yaibwaga CCM Arumeru Mashariki; CCM Yakubali kushindwa (Zaidi ya kura 6,000)

    Mkapa sasa ndo utakijua cha mtema kuni. Umetishia kujamba wakati unaharisha, subiria Mwanahalisi na Raia Mwema Jumatano hii
  11. M

    Tamko la Wabunge wa Jiji la DSM Kuhusu Kashfa ya Shirika la UDA

    Safi sana Wabunge: Sasa huu uwe mwanzo mwema. Simamieni vizuri mambo yafuatayo Ubungo Bus Terminal Maeneo yote ya wazi sehemu mbalimbali DAWASCO Na mengine yote mtazidishiwa Siasa za Umwinyi, kwenda kwenye misiba, kwenda msondo na kugawa jezi sasa basi, pigeni kazi
  12. M

    MDAHALO: Tundu Lissu vs Job Ndugai kama ilivyoonyeshwa na Star TV

    Hichi tunachokiona tutakizoea..TL
Back
Top Bottom