Recent content by MmatengoOG

  1. MmatengoOG

    Kwa wanaosema biashara ya duka haina faida, soma hapa tafadhali

    Kodi siyo shida kama unamzunguko. Maana ukiwa unapata kodi siyo yakuogopa. Wakina Mo wanalipa mabilioni kodi na wanapata zaidi. Ukichanganya na miamala ya pesa. Faida za miamala zitalipa kodi zote Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
  2. MmatengoOG

    Kwa wanaosema biashara ya duka haina faida, soma hapa tafadhali

    Faida ndogo sana kweli, lakini ukikaa mahala pake siyo ndogo tena, kwani linamzunguko mkubwa. Ukikaa sehemu yenye mzunguko. Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
  3. MmatengoOG

    Kwa wanaosema biashara ya duka haina faida, soma hapa tafadhali

    Hii biashara itategemea wapi umefungua na uwingi wa wateja. Kuna watu wanafanya na inawalipa sana na pia inategemea umeweka shilingi ngapi? Kuna watu wana mauzo ya siku mpaka milioni 2 hakosi laki faida Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
  4. MmatengoOG

    Kwa wanaosema biashara ya duka haina faida, soma hapa tafadhali

    Nimesoma comments za watu wote humu. Wengine wamekomenti ila bila kujua au kufanya hii biashara. Biashara hii ukikaa sehemu nzuri, mtaji mzuri angalau 7M mpaka 10M na ukawa na mauzo yasiyopungua laki 3 mpaka 5 kwa siku. Na upo serious ucheki na wateja. Lazima utoboe. Hawa wanaokatisha tamaa...
  5. MmatengoOG

    Kama unaingiza faida ya Tsh. 30,000 na kuendelea kwa siku pita hapa

    Thanks kwa majibu mazuri. Je, target kubwa hapa wawe wafanyakazi wa serikali au wafanyabiashara ndogo ndogo. Kwa uzoefu wako, kundi lipi halina changamoto sana?
  6. MmatengoOG

    Kama unaingiza faida ya Tsh. 30,000 na kuendelea kwa siku pita hapa

    1)Taratibu zipoje zakuanzisha hii micro credit 2) Changamoto zakukabiliana nazo ni nini? 3) Maeneo yanayofaa kuianzisha hii biashara
  7. MmatengoOG

    Kama unaingiza faida ya Tsh. 30,000 na kuendelea kwa siku pita hapa

    Mkuu msaada natamani sana kujua hii biashara
  8. MmatengoOG

    Uzi wa kutafuta mume/mke

    MSHENGA WAKO Jiunge na telegram ukutanishwe na umpendaye
  9. MmatengoOG

    Ufugaji bora, uzalishaji wa maziwa bora, usindikaji wa maziwa na chakula bora cha mifugo

    Umenikosha moyo sana. I have a dream na hii kitu sana
  10. MmatengoOG

    Zijue sifa za mashine za kukausha dagaa

    Bei gani hii machine
  11. MmatengoOG

    Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

    Boss umesema LTD company ndiyo company yenye mtaji? Je, kuna company zisizo na mtaji?
Back
Top Bottom