Recent content by mmasai kilema

  1. M

    Naomba kujuzwa hili kuhusu uraia..

    Kwanza kabisa Inatakiwa uwe umekaa tanzania kihalali zaidi ya miaka 10 na bila kuwa mashtaka mahakani au polisi. Na ndio mengine yatafuata
  2. M

    Kwanini TCRA inashindwa kuwalazimisha DSTV kutoza bill kwa Tshs?

    DSTV ingekuwa yako wewe ungekubali kuchaji kwa madafu yetu yasiyo stable kila siku yanashuka bei. Mbona pia hulalamiki petrol station tunanunua mafuta kwa dola na tunatangaziwa kabisa na wahusika. Na ndio maana kila muda bei za mafuta zinabadilika au kwa sababu unalipa madafu ........
  3. M

    Kikwete asimulia alivyoiba wali JKT!

    Katika Tanzania hii nani sio mwizi au hajawahi kuiba. Na kama hajawahi kuiba basi hajapata nafasi
  4. M

    Kikwete asimulia alivyoiba wali JKT!

    Dokta PADRI SLAA kuiba wake za watu alianza na umri gani.mimi sioni cha ajabu coz hakuna mtu perfect. Kina obama wamekiri amewahi kuvuta bangi itakuwa kikwete ambaye sio padri
  5. M

    Mwanafunzi Mtanzania aliyefia China - Kumsafirisha ni $45,000 USD

    <br /> <br /> Kama hujui gharama za kusafirisha maiti uliza au kaa kimya kuliko kuja na figure zako za kukisia. Hapa hapa tanzania hebu jaribu kukodi gari let say fusso harafu waambie unataka kusafirisha maiti au mzito . Harafu angalia tofauti ya bei. Na ndege ndio hivyo hivyo kusafirisha ni...
  6. M

    Cheti alichotumia Mulugo cha Mhadhiri wa Mkwawa:

    Kwani tatizo ni nn ? Je haja attend darasani? Hakufanya mtihani? Haja graduate university. Hivi linalosoma ni jina au mtu. Kwa marekani ukitaka kubadili jina ni anytime. Mrekma akiwa na diploma tu alikuwa waziri wa mambo ya ndani. Mbona hamzungumzii fail form 4 joseph mbilinyi sasa ni mbunge na...
  7. M

    Kenya Election 2013 Petition...Uhuru and Ruto's victory upheld.

    Hana tofauti DOKTA SLAA eti mtu ana wabunge 20 katika wabunge zaidi ya 200 harafu akadai eti ameshinda urais na kaonewa
  8. M

    Joseph Mbilinyi kabla ya ubunge!

    Mpambe wa mwizi mponjori
  9. M

    Tahadhali/tahiyari kwa watumiaji wa vinywaji baridi aina ya COCACOLA

    Tanzania nchi ya ajabu sana mwizi kakamatwa eti asaidiwe mazingira
  10. M

    Mtukufu Rais nani kaenda kumzika dada yetu trafic aliyegongwa Bamaga!

    Wewe mwenyewe si una uchungu . Vipi umeenda kuzika. Au kwenye key board yako. Umekaa kwenye computer kumtafuta wa kumrushia lawama . Au akizikwa na rais nini kitaongezeka kwa marehemu. Pole kwa stress nadhani utakuwa huna ajira
  11. M

    Kwanini Wahindi wamehodhi nyumba katikati ya jiji?

    Wa tz bwana wenyewe wanawaza maisha rahisi na kula bata. Wakipata ajira wanawaza kuiba au kupata pesa kubadili magari na wanawake.baadala ya ku save kusaidia ndugu na jamaa masikini wanaomzunguka .hiyo ndiyo wanavyofanya wahindi wana save na kusaidiana . Nyie kusaidiana kwenu ni michango ya...
  12. M

    Kwanini Wahindi wamehodhi nyumba katikati ya jiji?

    Acheni ubaguzi. Mbona kuna wa tz ni ngumu sana kuishi nao au kufanyanao kazi.....je umeshawahi kufanyakazi kwa muhaya au kampuni ya familia na owner ni muhaya au mchaga harafu wewe sio kabila yao. Kama hujawahi uliza au nenda then njoo ulete jibu
  13. M

    Askari wa Usalama agongwa na kufariki hapo hapo Bamaga!

    Ungekuwa na akili timamu usingeingiza siasa kwenye msiba. Hivi ni msafara gani wa rais duniani uliwahi kusimama baada ya kusababisha ajali? Na wizi wa kura umeingiaje hapo?
Back
Top Bottom