THE GREAT CAMP
JF-Expert Member
- Jun 29, 2012
- 765
- 194
BOFYA HAPA USOME MWENYEWE: Cheti alichotumia Mulugo cha Mhadhiri wa Mkwawa - Kitaifa - mwananchi.co.tz
tz kila kitu ni magumashi magumashi tu
Eeeh Tumuwachee Apumuweeeeeee! Alijifanya kukomalia Shule zenye mpango mkakati wa kununua matokeo kumbe yeye ni Gwiji kwenye Tasnia ya kughushi mzee wa magumashi mpaka kwenye Ubatizo kweli chiboko, akitaka kutumia jina lako anapiga ubatizo wa fasta .Mulugo for Presidency 2015!
Kwani tatizo ni nn ? Je haja attend darasani? Hakufanya mtihani? Haja graduate university. Hivi linalosoma ni jina au mtu. Kwa marekani ukitaka kubadili jina ni anytime. Mrekma akiwa na diploma tu alikuwa waziri wa mambo ya ndani. Mbona hamzungumzii fail form 4 joseph mbilinyi sasa ni mbunge na waziri kivuli

Huyu Mulungu ninamfahamu sana tu, yeye mwenyewe msanii msanii, anachukua PHD IDS udsm (labda kama amemaliza). Kwanza ana watoto 6 hajaoa kila mtoto ana mama yake.JINA HALISI: Philipo Augustino Mulugo
ELIMU: "FAILURE" Darasa la Saba, 1988
JINA FEKI: Hamimu Hassan
ELIMU: Darasa la Saba, 1989 (Sijui aliona haja gani ya kubadilisha jina hapa)
JINA FEKI: Hamimu Augustino
ELIMU: "O-Level" 1990~1993
JINA FEKI: Hamimu Mulugo
ELIMU: "A-Level" 1994~1996
JINA FEKI: Dick Aron Mulungu
KAZI: Mwalimu katika Shule ya Sekondari ya Southern Highlands. Hii ni baada ya kutumia vyeti vya rafiki yake aitwaye Dick Aron Mulungu ili kupata kazi ya ualimu. Pamoja na kutokuwa na cheti cha ualimu, aliteuliwa kuwa "headmaster" baada ya mmiliki wa shule hiyo kufariki.
LEO HII: Philipo Augustino Mulugo (MB) ni Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi.