Recent content by Mmakua Mmakonde

  1. Mmakua Mmakonde

    Paul Makonda katoa ujumbe mzito kuwajibu wanaotoa waraka wa kuikosoa Serikali

    Binaadamu tunajisahau sana kama sio kujitoa ufahamu. Twajiona tuko sawa ktk kila kitu. Busara kubwa kwa mwenye hekima ni kusikiliza na kumueleza anayekushauri kuwa hapa sikuwa na maana hiyo mliyoifikiri,nilikuwa na mtazamo huu. Unaweza ukamshawishi ata aliyekushutumu akabadili maono na kutengua...
  2. Mmakua Mmakonde

    Uhusiano wa Franco na Mobutu

    Duuuuh,asante sana mkuu. I salute you. Najiona kama nipo ukumbini nawaona wakongwe wakifanya yao enzi hizo muziki umeshika hatamu. Kuna haja ya kuwa na jukwaa letu la kupeana mavitu ya enzi hizo kma haya.
  3. Mmakua Mmakonde

    Uhusiano wa Franco na Mobutu

    Asante sana mkuu kwa kumbukizi muruwa kabisa. Inaelekea Madilu ni alikuwa anatembelea sana nyota ya Franco baada ya kifo chake maana naona karibu nyimbo kadhaa za Franco kazifanyia remix. Naomba baadae utuwekee uhusiano wa hawa jamaa wawili Madilu na Franco. Na vp kuhusu Tabu ley na Mbiliabel...
  4. Mmakua Mmakonde

    Majina ya marais wote wa Tanzania yana herufi M

    Nimekuelewa mkuu,lengo langu lilikuwa kukuonyesha ulipo-mark M kwenye jina la raisi wa kwanza siko. Ni sawa na kusema jina la Dr. J.P.Magufuli lina herufi D ndani yake. M niliyoitarajia kwenye hilo jina ni kutoka kwenye jina la kati la Kambarage na sio Mwalimu. Ila umeeleweka mkuu.
  5. Mmakua Mmakonde

    Majina ya marais wote wa Tanzania yana herufi M

    Kwani kuna jina raisi nimelitaja hapo mkuu?
  6. Mmakua Mmakonde

    Majina ya marais wote wa Tanzania yana herufi M

    Kwa hiyo Prof Lipumba jina lake lina herufi F ndani yake:):):):):):):)
  7. Mmakua Mmakonde

    UDSM hawaitendei haki Tanzania kwenye nyanja ya Siasa

    Tuondoe dhana ya kuwa ili uonekane unaunga mkono ni lazima uwe upande fulani na ili uonekane ni muibua changamoto lazima uwe upande fulani.
  8. Mmakua Mmakonde

    UDSM hawaitendei haki Tanzania kwenye nyanja ya Siasa

    UDSM kwa sababu naamini ndio chuo kikongwe kilichoanza kutoa elimu ya siasa nchini. Ata mfumo wa vyama vingi ulipoingia nchini nilitaraji watuandalie wataalamu ambao wangeenda kutuelimisha ipasavyo nn maana ya huu mfumo ktk uendeshaji wa nchi. Zaidi ya hapo maelezo yako mengine nimeyakubali na...
  9. Mmakua Mmakonde

    UDSM hawaitendei haki Tanzania kwenye nyanja ya Siasa

    Kwa hali inayoendelea sasa nchini nachelea kusema UDSM mna kila sababu ya kubeba lawama juu ya uelewa wa masuala ya siasa uliopo nchini. Dhana inayojengwa ya kuwa ukiwa upande fulani wa sarafu wewe ni wa kuunga mkono na ukiwa upande mwingine unakuwa wa kupinga ni dhana mbaya kwenye mfumo wa...
  10. Mmakua Mmakonde

    Mkutano wa CWT, Dodoma: Rais Magufuli awajaza pesa Walimu! Awataka kutochagua mtu kwa matakwa ya rushwa au siasa

    Tena mkutano uliohudhuriwa na PM. Nadhani ilitosha kwa PM kumuwakilisha yy kama Amir Jeshi aje kutoa heshima na kuwapa neno la faraja majeruhi, familia na manusura wa mkasa huu mkubwa uliotupata.
  11. Mmakua Mmakonde

    Mishahara mipya Novemba 2017 kuna ongezeko?

    Teh teh teh te. Kumbe atiii. Haututakiwi kuhoji ata ahadi za juzi tuu?. Au nzo zitajijenga nyingi kwenye miradi mikubwa inayoendelea.
  12. Mmakua Mmakonde

    Mishahara mipya Novemba 2017 kuna ongezeko?

    Tukumbuke kuwa Mh. Raisi alitoa ahadi hadharani akisema mwezi huu anaanza kurudisha utaaratibu wa nyongeza ya mwaka ya mshahara. Watumishi tarehe zetu ndio hizi zinayoyoma vp huko kwenu kuna lolote jipya.
  13. Mmakua Mmakonde

    Kuonekana kwa comred Kinana

    Ndio wajibu wake, watu wangeongea kama hasingeonekana tena safari hii. Ni wajibu wa katibu mkuu wa chama kuwepo kwenye vikao vya juu vya chama. Hasipoonekana kwa sababu zisizo na mashiko ndipo huzua maswali na hayo maneno unayoyasema.
  14. Mmakua Mmakonde

    Tafakuri ya haki sawa juu ya wana siasa na watumishi wa Umma

    Najitahidi kuwaza kwa sauti kuhusu yule Askari aliyepayuka kwa sauti na kufyatua risasi hewani akujua anatekeleza majukumu yake kama ambavyo alikuwa akisikika akisema "Kwa nini hauheshimu bendera, nimekunywa maji ya bendera mimi" na akaungwa mkono na kamanda wake kwa maana ya mkuu wa kazi na...
Back
Top Bottom