Recent content by Mmakedonia

  1. Mmakedonia

    Pesa mkononi mwako kwa njia ya mtandao

    Mfumo ambao dunia imejiwekea wa kumtafsiri mtu na mtu au hata taifa na taifa kupitia vipato vyao (pesa) umekuwa ukiweka maswali mengi sana kichwani kwangu, moja kati ya swali ambalo mpaka leo bado sijapata majibu ni lile lililo kwa watu wengi kwamba "Hela zinatengenezwa wapi? Na ni kozi gani...
  2. Mmakedonia

    Masaa 96 ya uamuzi wa maisha

    Nisaidie, Nifanyeje ili nipate nafas ya kwenda jesh mkuu?
  3. Mmakedonia

    Masaa 96 ya uamuzi wa maisha

    Geomatics inahusu nini...!?
  4. Mmakedonia

    Masaa 96 ya uamuzi wa maisha

    Salam ndugu wote wa JF, naomba kufungua uwanja huu nikiwa nimebakiza masaa 96 tu (siku nne) kufikia kilele cha udahili wa vyuo ngazi ya diploma awamu ya pili. Niliomba awamu ya kwanza katika vyuo vya serikali nikakosa, nikasubiri awamu ya pili lakini bahat mbaya vyuo vya serikali vimejaa...
  5. Mmakedonia

    Kaka niache tu🙌 nikifa, nikiishi Mungu ndio anaejua😭

    Nipende kuwashukuru wote mliohusika katika kutoa muda wenu na kunishauri katika post yangu iliyopita ambayo kiukweli niliandika nikiwa katika stress ambazo zilikua zimenizidi kiukweli lakini kwa ukarimu wenu mkanishauri. Shukuran za dhati pia kwa wale wote mlionifata inbox angalau...
  6. Mmakedonia

    Wamekopa magari uko 😂😂😂😂

    Hawajakopa, kuwa makini mkataba unahusu simba kuitangaza hiyo kampuni kibiashara na hivyo muda si mrefu mtaanza kuona nembo ya hiyo kampuni kwenye jezi ya simba pia mkataba hawajasema kwamba una thamani ya mil 800 wamesema unathamani ya "zaidi ya mil 800"
  7. Mmakedonia

    Kaka niache tu🙌 nikifa, nikiishi Mungu ndio anaejua😭

    Nilijaribu pia lakini mkuu akaniambia haitowezekana kwasababu kuna walimu wengi ambao wamejitolea lakini bafo hawajaajiliwa akaniambia kungekua hawapo walim hao wa kujitolea angenipa nafas
  8. Mmakedonia

    Kaka niache tu🙌 nikifa, nikiishi Mungu ndio anaejua😭

    Umeingia kwa kutumia app au chrome?
  9. Mmakedonia

    Kaka niache tu🙌 nikifa, nikiishi Mungu ndio anaejua😭

    Vyuo nimeomba lakini bahat mbaya sijapata hata kimoja, nachohitaji kama naweza kupata ufadhili wa kusoma japo katika chuo cha private nitashukuru, hata kama kutakua na mkataba ambao nitatakiwa kuufidia baadae pia nipo tayari 🙏
  10. Mmakedonia

    Kaka niache tu🙌 nikifa, nikiishi Mungu ndio anaejua😭

    Ingia kwa kutumia chrome utapaona
  11. Mmakedonia

    Kaka niache tu🙌 nikifa, nikiishi Mungu ndio anaejua😭

    kama unatumia app hauwez kuona ni had uingilie chrome
  12. Mmakedonia

    Kaka niache tu🙌 nikifa, nikiishi Mungu ndio anaejua😭

    Katika maisha yangu ya elimu kuanzia darasa la kwanza hadi kidato cha nne sikuwahi kushindwa darasani, mimi kwangu kupitwa katika mtihani nilichukulia ni zaidi ya tusi, baba yangu alinisifia akisema kwamba nina akili kama alizokua nazo yeye ijapokua hakua mtu wa kunipa mahitaji muhimu ambayo...
  13. Mmakedonia

    SoC01 Kuna ukweli kuhusu Mungu?

    Hahahaha kwahiyo tupo katika kipindi cha mpoteano..
Back
Top Bottom