Recent content by M'mafia wa Tz

  1. M'mafia wa Tz

    Nin mana ya kupiga kura kwa mwafrika

    Cha kufanya kiongozi yyt ataeleta ujinga ni wananchi wote kuandamana na kumng'oa madarakani.
  2. M'mafia wa Tz

    Nin mana ya kupiga kura kwa mwafrika

    Nini mana ya kupiga kura kwa sisi wafrika?.....kaa tafakari utagundua mana ya kupiga kura kwa mwafrika ni kumpa ulaji ambao hajawahi kuufikira katika maisha yake kabla hajachaguliwa kua kiongozi(Kumpa tiketi ya kwenda kutatua matatizo yake binafsi na si ya nchi).Na ndio mana viongozi wengi wa...
  3. M'mafia wa Tz

    Napatwa na msongo wa mawazo

    Dada usiwaze sana khs mumeo hata km unampenda kwa vile imetokea hvyo ww anza kuwaza maisha ya mtoto wko badae na si mwanume ambae mda wowote mnaweza kuachana na ukijikuta umeambulia patupu mf umekosa mme na nyumba huna.kwavile hatak kukuambia ukwel punguza kumpa ela hyo mwanaume mpe ya nauli na...
  4. M'mafia wa Tz

    Makanisa yavunje MoU na Serikali...

    Acheni kulalamikia jasho letu.sie tunafanya kazi sana na tunapata hela sana na tunatoa sadaka/malimbuko sana na ndo mana tuna uwezo wa kujenga hosp,schools n.k Na nyie igine hivyo na mtafanikiwa. Amen.
  5. M'mafia wa Tz

    Napatwa na msongo wa mawazo

    1.ulikulupka kuolewa nae kabla ya kufanya tafiti ya IQ yake. 2.huyo mmeo is not visionary person he only think of today,so, is not good to you,your kid and your future because he fail to stand as a man in the family. 1.mfanyie councelling na kumuuliza kuhusu matumiz yake na mshahara...
  6. M'mafia wa Tz

    Kwanini tusibadili Katiba iruhusu rais Kikwete agombee tena 2015?

    U'brilliant ktk mambo gani unayoyazungumzia!km unaona huyo kiongozi ni brilliant basi ww utakua KILAZA sana na uwezo wa kufikiri ni mdogo ndo mana unamuona brilliant!
Back
Top Bottom