Kwanini tusibadili Katiba iruhusu rais Kikwete agombee tena 2015?

Jamani eeeeh, hata uchaguzi wa CCM hajapita, akishindwa uenyekiti je, utaendelea kumuunga mkono??
 
Nina uhakika ulikuwa una fanya utani kumbe uko live, kama unampenda ni wewe na Raho yako. sisi tuna hesabu siku tu tutue mzigo huu 2015
 
mleta mada atakuwa anatamani alichokiandika japo hakiwezekani kabisa kutokea.
 
"Kwa dhati kabisa napinga ukomo wa uongozi eti kuwa miaka 10. Kwa kiongozi kama JK ambaye ni hazina kubwa ya Taifa, nadhani bado anastahili kupewa nafasi nyingine ya kugombea. After all, bado kijana, bado CCM na Taifa linamhitaji kiongozi huyu mahiri. Hata EA tunamhitaji sana. Mbona Kagame aliongeza muda, Museveni nk, mbona uingereza mama wa demokrasia hawana ukomo, sioni kama ni dhambi katiba mpya ikampa kiongozi huyu mpendwa nafasi ya kugombea ili aweze kutimiza yale ambayo hawezi kuyatimiza. Muhimu zaidi, itawanyongonyesha akina Lowassa na kuwazuia kabisa kuingia kwenye power." CCM itanusurika na will return to winning ways if this brilliant leader is allowed to stand again. Tunamwomba Rais Kikwete afikirie kuhusu maombi yetu hatya sisi watanzania tunaompenda sana.

Hivi hizi bangi huwa mnavutia wapi................... chooni?? Nafikiri bangi lako limetoka Malawi!!
 
Huu ni ugonjwa wa kudumu. Hata BM walisema hivyo hivyo. Kuendelea kuchangia ni kupoteza muda.
 
U'brilliant ktk mambo gani unayoyazungumzia!km unaona huyo kiongozi ni brilliant basi ww utakua KILAZA sana na uwezo wa kufikiri ni mdogo ndo mana unamuona brilliant!
 
Back
Top Bottom