Tutake tusitake hadi 2015 nchi itakuwa haina kitu cha kujivunia.
Tutake tusitake mpaka mwaka 2015 nchi itakuwa haina kitu. Wanyama watakuwa wametoweka, amani hakuna, maendeleo yatakuwa nyuma. Serikali itakayorithi bila kujali ni ya chama gani itakuwa na hali ngumu ya kulipa madeni...
Mapangaji wa safu ya uongozi ni Bwana Mkubwa mwenyewe. Gharama za kuchaguana kwa uwahiba, uanamtandao na undugu unaligharimu taifa. Tusikwepe kuwa wawazi kwamba Bwana mkubwa aachie ngazi. Vinginevyo hadi mwaka 2015 nchi itakuwa na hali mbayaaaaaaaaaaaa mno.
Sijaona tuhuma zaidi ya kueleza kwamba wapelekwe Mhakama ya Kimataifa. Kwa makosa gani na kama ni makosa ya jinai wapeleke Police kwa maelezo mazuri na tuhuma wapelekwe mahakamani.
Naamini kwamba serikali yetu imefikia kiwango kikubwa cha kutowajibika. JK na sesikali yake wanamaliza mhula wao na kwa maana hiyo hawajali lolote linolendelea zaidi ya maslahi yao binafsi. Kama wananchi kupitiia Bunge bila kujali itikadi ya vyama na kuweka mbele zaidi matatizo na maslahi ya...
Magamba wateleza utekelezaji wa ahadi mbalimbali na kujisifu bila kueleza mapungufu. CDM tafadhali waambieni wananchi kwamba ufisadi ulikithidhiri ndani ya CCM, mipango mibovu, budget tegemezi n.k ndivyo vilivyotufikisha hapa kwa wananchi kuendelea na umaskini. Kwa maana hiyo maendeleo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.