Habari za wakati huu ndugu zangu, Leo nmekuja kwenu nikijaribu kuhoji athari za social medias katika maendeleo ya vijana. Tumeona faida nyingi 2 za Social Media (Mitandao ya kijamii) Ila leo nngependa 2angalie upande wa pili wa athari za mitandao ya kijamii katika maendeleo ya vijana. Je zipi...
Hizi kura za ndio na hapana zinatutesa sana, nadhani serikali inatakiwa kutafuta mfumo mzuri wa upitishaji wa hoja badala ya huu wa ndiiiiooooo au hapaaanaaaa
Kwakweli inakatisha tamaa kuona bunge ambalo tunalitegemea kwaajili ya kutunga sheria nzuri ambazo zitakuwa na tija kwa mustakabali wa taifa zima badala yake mawazo ya maana yanapuuzwa na watu kusubiri kujibu tu ndiiiiiioooo au hapaaaanaaaa.....hii inauma sana
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.