Recent content by mlowa

  1. M

    JamiiForums Tanzania Toyota noah inatatizo la kula oil

    ok kwenye top cover kweli naona kuna ubich,na pia nikiipaki nakuta chini kuna matone ya oil chin,shida ni nn maana mafund wangu wanasema wafanye over whole ya engine na wengine wanasema nisifanye hivyo ,ndiyo maana nimekuja hapana kupata ushar na jua huku kuna wataalamu angalau nitabata mwanga...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Toyota noah inatatizo la kula oil

    mkuu unanitisha
  3. M

    JamiiForums Tanzania Toyota noah inatatizo la kula oil

    sijawahi changanya natumia total sae 40 sijawahi weka oil aina nyingine
  4. M

    JamiiForums Tanzania Inahitaji ujasiri kumiliki PASSO

    upo vizuri mkuu hata mimi nimepata pa kuanzia
  5. M

    JamiiForums Tanzania Toyota noah inatatizo la kula oil

    habar wana jamvi? naomba msaada wa ushauri wa kiufundi,nina gar toyota noah engine s3 inatatizo la kupunguza oil unapotembea umbali mrefu kuanzia km 300 hv,ndiyo utagundua hilo tatizo.Lakin kwa safar za karibu oil inabaki kwenye level ya kawaida,nimejaribu kufunga ring mpya still tatizo...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kero: TCRA mlisema local channel ni bure mbona zinalipiwa?

    siyo star time tu hata vingamuzi vingine kama azam tv,na dstv wanaacha tbc tu
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kanisa Katoliki na siasa za kinafiki Tanzania

    duhduh
  8. M

    JamiiForums Tanzania Ulinzi waimarishwa taasisi ya moyo alikolazwa Manji

    iddi AZAN yupo nje manji kanganganiwa mmh ngoja tuone yetu machoo
  9. M

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri StarTv: Mahojiano Maalum ya Dr. Slaa na Star TV - Tarehe 4 Septemba, 2015

    nafikiria sana nakosa jibu,kama kweli tuhuma za EL nizakutunga mbona kakaa kimya ajasema ukweli na aliahidi kusema ukweli wote kuhusu richmond?mpaka sasa anazunguka kwa kampen lakin kimya kabisa hata ufisadi ubadhilifu wa mali za uma hazungumziii hapa naanza kupata shaka kidogo juu ya usafi wa EL
  10. M

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri StarTv: Mahojiano Maalum ya Dr. Slaa na Star TV - Tarehe 4 Septemba, 2015

    lisu zake kupanic tu hakuna kitu hapo
  11. M

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri StarTv: Mahojiano Maalum ya Dr. Slaa na Star TV - Tarehe 4 Septemba, 2015

    YERICKO nashidwa kukuamini kabisa juu ya hoja zako
  12. M

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri StarTv: Mahojiano Maalum ya Dr. Slaa na Star TV - Tarehe 4 Septemba, 2015

    lissu hanahoja ya kupambana na DR.bora hawe kimya
  13. M

    JamiiForums Tanzania Wafuasi takribani 1,000 wa CHADEMA Arumeru wahamia ACT-Wazalendo

    hapo hakuna cha kushangaa kawaida kuhama na kuhamia
Back
Top Bottom