Kwani shida mi hoja imetoka wapi au hoja inajengaje nchi? Wakina kafulila wakina zito wakina slaa mbona hoja zao zimetekelezwa ulikua huko marekani au
Sent using Jamii Forums mobile app
Nashukuru wadau kwa ushauri wengine kwa kupitia manake ulivutiwa hatakama hukushauri waweza kumuelezea ambaye hayuko hapa jf mwishowe nikapata suluhisho la Baraka na haraka
Ni kweli so Watusi Bali watutsi ukihiwa kutokua mtanzania in ngumu kuelezea pasipo shaka uraia wako kwani kuzaliwa tu si kigezo cha uraia yalinikuta nilitumia vipengele Vingi vya sheria kuthibitisha na kupoteza muda mrefu
Mi ni mtusi asiyejificha sijawahi kujiita muha au muhangaza lakini naelewa kwa nini wanaogopa kujitambulisha hivyo ni waoga wakujieleza mbele ya sheria
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.