Recent content by MLO

  1. M

    JamiiForums Tanzania Nani alishauri wanase sauti zao na ziwekwe hadharani?

    Vyombo vya ulinzi na usalama vinaruhusu vp mtu aliye na kashifa kuwa waziri. Walifikiri Kuna kupona
  2. M

    JamiiForums Tanzania Nani alishauri wanase sauti zao na ziwekwe hadharani?

    Hata robo mkasa bado
  3. M

    JamiiForums Tanzania Nani alishauri wanase sauti zao na ziwekwe hadharani?

    Ndg zangu, Ningependa kumshukuru MwenyeEnzi Mungu kwa nafasi ya kuona na kujifunza Tanzania. Pia kwa mujibu wa imani zote upagani na dini mapokeo zote zinatamka laana ni mikosi na matukio mabaya ambayo ni matokeo ya jamii au wanajamii kuenda kinyume na misingi waliyiirithi. Ndani ya utawala...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Ni wakati sasa kwa Serikali kumuomba radhi Tundu Lissu aliyeshauri mapema kuachana na madai ya Barrick

    Kuna watu wananifaika na mgawo WA hista za uwekezaji ambazo ni muwekezaji na wazawa. Wazawa ni kinani? He baada ya kuondoka adui Yao mkubwa wapo tayari kuendeleza madai? Kifupi Bora upiganie tumbo kuliko kupigania Tanzania imejaa unafiki na mawazo ya kimaskini. Mtu asijiamini na kujitambua ni...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Rais ashauriwe apumzike kumnanga Rais aliyetangulia

    Kuna siku watasema sema kilichotokea. Hata CIA huficha Siri kwa miaka 50. Lakini kwao haitafika
  6. M

    JamiiForums Tanzania Amos Makalla: Chanzo cha moto wa soko la Karume ni mshumaa uliowashwa na mateja

    Maskini Hana jeuri
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mkoa wa Pwani watoa Mawaziri watano kwenye baraza jipya; ni bahati mbaya au ndiyo tuseme sasa zamu ya watu wa Pwani?

    1. Dr. Jaffo..kisarawe 2. Mchengelwa..Rufiji 3. Ridhiwani..Chalinze 4. Ulega..mkuranga 5.kipanga..mafia 6.Jumaa Aweso 7.Ummy Mwalimu 8.George Mkuchika 9. January Makamba 10.Nape Nauye 11. Masauni Masauni 12. Mwanaidi Hamis 13. Hamis Hamis 14. Makame Mbarawa 15. Mbaruk 16. Chande
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini Balozi za Marekani, Uingereza, EU na Canada hazijatoa tamko lolote kuhusu kukamatwa Mbowe?

    Kwanini Balozi za Marekani, Uingereza, EU na Canada hazijatoa tamko lolote kuhusu kukamatwa Mbowe? Marekani, EU, Canada etc walikuwa na Mission eradicate Magufuri and his Economic policy. Mpango was done successful using akina Mbowe na Takata zingine. Mpango ulitumia gharama baada ya mpango...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Watesi wa Kabendera ni nani?

    Hii Dunia usipoijua hasa kukataa historia unapoteza Muda. Lipumba aligongwa virungu Kipindi cha IGP Mahita pale Kidongo Chekundu. Leo yuko wapi Lipumba na Mahita. Hili nalo litapita
  10. M

    JamiiForums Tanzania Watesi wa Kabendera ni nani?

    Hii Dunia usipoijua hasa kukataa historia unapoteza Muda. Lipumba aligongwa virungu Kipindi cha IGP Mahita pale Kidongo Chekundu. Leo yuko wapi Lipumba na Mahita. Hili nalo litapita
  11. M

    JamiiForums Tanzania BBC na Corona: Kenya tayari ina deni la $ 1.5 bilion za Marekani, Tanzania haina deni lolote hadi sasa

    Hayo makaburi ya halaiki yapo wapi? Mtanikumbuka but too late to rise him
  12. M

    JamiiForums Tanzania Tutafakari juu ya hili

    Makelele mengi kushikiliwa kwa mbowe nadhani kuna kitu mnaficha kwenye mauaji ya viongozi wa serikali hata wewe hapo mwisho umesema BORA KAENDA. UNAUJUA MPANGO WA MAUAJI
Back
Top Bottom