Recent content by Mlinzi Shujaa_

  1. Mlinzi Shujaa_

    JamiiForums Tanzania NGAO - SELF DEFENSE / NGAO COMBAT

    Ngao kujilinda / mapigano ya Ngao, ilichanganya katate, jujitsu, kenpo, jeet kufanya kufanya, mapigano yasiyo na silaha na ujuzi wa kijeshi wa kijeshi. Ngao ni mfumo hatari zaidi, kwa sababu mbinu zake ziliundwa kwa ajili ya kushambulia na kuua mpinzani katika sekunde 3. KUTOKA KARATE .mlinzi...
  2. Mlinzi Shujaa_

    JamiiForums Tanzania Mlinzi Shujaa

    Huyu ndio mlinzi shujaa muanzilishi wa mfumo wa ( ngao self defense ) au ngao combat
  3. Mlinzi Shujaa_

    JamiiForums Tanzania NGAO - SELF DEFENSE SYSTEM

    Kuanzia wiki ijayo, juma tatu, fuatilia mafunzo hays katika akaunti zetu za YouTube na face book.
  4. Mlinzi Shujaa_

    JamiiForums Tanzania NGAO - SELF DEFENSE SYSTEM

    Karibu gongola mboto, fomu NI bure, mafunzo NI bure . Karibu Sana ndugu yangu.
  5. Mlinzi Shujaa_

    JamiiForums Tanzania NGAO - SELF DEFENSE SYSTEM

    Ngao - self defense system, ni mfumo wa kujilinda dhidi ya wahalifu, magonjwa, kesi, ajali, mazingira hatarishi, tabia mbaya, wanyama wa Kali na wadudu wa Kali. Lengo kuu la mafunzo ya ( ngao -self defense system ) nikumfanya kila mtanzania , wakiwemo raia, viongozi wa serikali, vikosi vya...
  6. Mlinzi Shujaa_

    JamiiForums Tanzania USALAMA NI NINI ?

    Usalama ni Hali ya Amani na utulivu ambayo hupatikana katika sehemu yenye ulinzi.
  7. Mlinzi Shujaa_

    JamiiForums Tanzania Mdau nauliza ulinzi ni nini hasa

    ULinzi ni kitendo cha kuangalia, kuepuka, kuzuia, kushambulia au kupiga kelele kubwa. Ili kuondoa tatizo na kuwafanya watu waisji katika Hali ya usalama.
  8. Mlinzi Shujaa_

    JamiiForums Tanzania NGAO - DEFENCE & SAFETY SYSTEM

    Ngao ni mfumo wa ulinzi na usalama, mfumo huu umeanzishwa na issa rajabu tofiki/mlinzi shujaa , katika nchi ya tanzania, mwaka ( 2019 ) kwa lengo la kuwapatia raia wa tanzania uwezo wa kujilinda dhidi ya wanyang'anyi, wabakaji, wateka nyara, wauaji, magonjwa, ajali, mazingira hatarishi na...
  9. Mlinzi Shujaa_

    JamiiForums Tanzania Mlinzi shujaa

    PIcha za mlinzi shujaa
  10. Mlinzi Shujaa_

    JamiiForums Tanzania Kwa mafunzo zaidi

    Kama unahitaji kujifunza ngao - self defense system , Tembelea katika mitandao yetu ya kijamii inayojumuisha You tube au Facebook au tembelea tovuti yetu ya Blogger au tembelea ukurasa wetu wa Jamiiforums au wasiliana moja kwa moja na mkufunzi mkuu wa ( ngao - self...
  11. Mlinzi Shujaa_

    JamiiForums Tanzania Kama unahitaji kujifunza mbinu za kujihami za ngao - self defense

    You tube Hapana ,hawa ni wanafunzi wangu.
  12. Mlinzi Shujaa_

    JamiiForums Tanzania Kama unahitaji kujifunza mbinu za kujihami za ngao - self defense

    Tmbelea katika mitandao yetu ya kijamii, ikiwemo fFacebookYou tube
  13. Mlinzi Shujaa_

    JamiiForums Tanzania Close contact combat

    Ngao - exicutive tactical
  14. Mlinzi Shujaa_

    JamiiForums Tanzania NGAO - SELF DEFENSE

    Ni mfumo wa ulinzi na usalama wa tanzania, ulioanzishwa kwa lengo la kuwapatia raia uwezo wa kujilinda dhidi ya wanyang'anyi, wabakaji, wateka nyara, wauaji, magonjwa, mazingira hatarishi na ajali. Ni mfumo maalum kwa ajili ya raia na majeshi ya ulinzi na usalama, sera ya ulinzi na watu binafsi...
  15. Mlinzi Shujaa_

    JamiiForums Tanzania LINE PUNCH

    NAshukuru/ asante sana
Back
Top Bottom