Recent content by Mlimamrefu

  1. M

    JamiiForums Tanzania Prof. Kabudi: Namshukuru sana Rais Samia kwa kuniteua kuwa Chairman wa Kamati ya Majadiliano, sitamsahau maisha yangu yote

    Uadilifu, uaminifu na uzalendo wa Prof Kabudi hautiliwi mashaka hata chemba. Mungu amsaidie
  2. M

    JamiiForums Tanzania Tanzania yaula OACPS

    Balozi wetu Brussels anaonekana ni mzuri sana. Fursa kibao anazitafuta.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mwanza: Waburuzwa Mahakamani kwa kosa la Kumuombea Mbowe alipokuwa Gerezani

    Siasa zako hizi za uongo na maji taka zimepitwa na wakati
  4. M

    JamiiForums Tanzania JWTZ: Daima tutamlinda na kumtii Rais wa JMT na Amiri Jeshi Mkuu

    Siasa ni sehemu ya maisha
  5. M

    JamiiForums Tanzania JWTZ: Daima tutamlinda na kumtii Rais wa JMT na Amiri Jeshi Mkuu

    Hatujapenda ulichooandika. Heshimu Jeshi letu la Wananchi.
  6. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Asante, umenisemea.
  7. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Asante mkuu. Ndiyo nilikumbuka kinga, wakati naulizia guest house nilinunua kabisa kinga zangu za kutosha. Huwa siuzi mechi
  8. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Nimesoma stories za wengi na kwa hakika zimenifurahisha na pia kunifundisha. Ngoja nami niweke baadhi ya visa vya kula tunda kimasihara kwa upande wangu. Ninazo nyingi. Leo nianze na hiki: Miaka mitano iliyopita, katika moja ya eneo jijini Dar (naomba nisilitaje pengine mhusika yuko humu)...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Namna ambavyo bila kujua unatumia kipato chako kuwalipa wengine bila ya kujilipa wewe kwanza

    Nafikiri kwa kanuni za kisomi ingefaa um- acknowledge
  10. M

    JamiiForums Tanzania Namna ambavyo bila kujua unatumia kipato chako kuwalipa wengine bila ya kujilipa wewe kwanza

    Mkuu naona umesoma na kuelewa vyema falsafa ya mwandishi George Samuel Clason kwenye kitabu chake cha The Richest Man in Babylon
  11. M

    JamiiForums Tanzania Sasa ni dhahiri kesi ya Mbowe imekaa vibaya. Mashahidi 24 na vielelezo 19 vya serikali si mchezo. Ni mkao wa kunyolewa

    Huyu anayejiita wakili hana point yoyote ya maana. Ana bwabwaja tu. Hana tofauti na hoja za Mnyika.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Sasa ni dhahiri kesi ya Mbowe imekaa vibaya. Mashahidi 24 na vielelezo 19 vya serikali si mchezo. Ni mkao wa kunyolewa

    Kwa mashtaka yaliyosomwa leo tarehe 23 Agosti 2021 ni wazi serikali imejipanga ipasavyo kwa kesi hii ya Mbowe ya ugaidi. Serikali kuwa mashahidi 24 na vielelezo 19 siyo mchezo. Sasa tunafahamu kwa nini IGP alilizungumzia hii kesi kwa kujiamini sana na kueleza kuwa Mbowe kama ni mkristo mkweli...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi wa zamani wa NIDA, Dickson Maimu akutwa na kesi ya kujibu

    Kwa kweli Babati umezidi. Naungana na wote waliokuponda humu. Umezidi kujifanya unajua kila kitu na ushabiki kama wa zezeta. Majina uliyopewa na USSR, akilinene na wengineo unazistahili. Badilika.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Naanza kutilia shaka uwezo wa Rais Samia kuongoza Taifa

    Unatumia nguvu nyingi kujenga hoja zisizo na nguvu. Kwamba nchi zote ambazo zimetangaza kuwahukumu magaidi hazina Unatumia nguvu kubwa kujenga hoja isiyo na nguvu. Kwamba nchi zote zilizotangaza kuwahukumu magaidi hazipati wawekezaji? Kaulize Marekani, na huko Kenya alikokimbilia gaidi Mbowe
  15. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ingilia kati suala la Mbowe ukubalike zaidi kisiasa; kesi ikitupwa au akishinda itakuharibia taswira yako na ya CCM

    Kama ni hivyo kweli na Chadema mnaamini hivyo, kwa nini mna lia lia aachiwe kwa huruma ya Rais. Acheni gaidi afungwe miaka 20 jela ili awe mshindi. Ndiyo mtajua kama kufungwa ni ushindi au la. Na wewe andaman a ufungwe ili ukajiunge naye uwe mshindi
Back
Top Bottom