Ndio maana!mi kila nikiamia nyumba ngeni,mtaani nawaona kabisa wanakuja mkaka sasa nimewakwepa 30.WENGINE UNAONGEA NAYE TU ANAJIONGEZA kama kukuonea aibu ya uwongo
Mwenzenu nina tatizo siwezi kukaa na mwanamke yoyote katika mapenzi nikimchoka namwacha kama utani.Tatizo hili limekuwa lininitokea mara kwa mara kila msichana nimpendae nikimchoka namwacha tu,naomba ushauri nifanyaje hili hali hii initoke kwani nikimwacha naanza kumkumbuka tena kwani nipo...
watu wengi wanalalamika kwamba wanatendwa katika mapenzi.Dawa ni kucheza kwa step na uliyeingia naye,ukishindwa kucheza kwa step baba/mama umepotea.
nina maana mama jitume jitume mtege mmen kimapenzi mpe vyombo.mkipata vyombo usiku mpe na asubuhi nakwambia huyo haruki kirahisi
maneno ya...
Mwenzio yalinikuta mwaka flani nilikuwa na demu kama wewe akaanzisha vituko kumbe tunashare.nikamwacha kwa kumwambia sikutaki nimekuchoka, akatokea kunichukia mpaka leo.naona dawa yao kuwaacha kimyakimya
Katika utafiti nilioufanya safari mbalimbali nimegundua
1.Ni rahisi kumtongoza mwanamke na kulala nae mnapofika eneo mlilokusudia kwenda
2.Pia ni rahisi kwa mwanamke kupata mchumba ndio sababu inayosababisha wao kuwa rahisi kukubali.
MENGINE NI YAPI?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.