Recent content by Mlima meru

  1. M

    Nyumba ya kupanga Arusha-Ngulelo

    Hiyo nyumba naitaka japo nipo safari Kwa sasa
  2. M

    Galaxy Note 3 - battery

    Wapendwa Kuna rafiki yangu ameniletea simu ya Galaxy note 3 kutoka Dubai (mpya) ila naona ni clone (zawadi ni zawadi hivyo nimeipokea) Kimsingi inafanya kazi vizuri kwa kila kitu operation wise...ila nimeona Battery inaisha charge haraka (masaa mawili bila hata matumizi ya haja)... Sasa naomba...
  3. M

    Nahitaji mume wa Kiislam

    Mtu akiniambia niko selective na mshangaa kwani sjaona cha ajabu nimeandika hapo? Mimi nina miaka 31 nimeomba mtu wa angalau age ya 35 and above; nikiacha open nitapata lunndle la serengeti boys Elimu nimeweka japo Diploma, Kimsingi tofauti ya Elimu ilkwa kubwa sana hasa kwa mwanamke mwanamme...
  4. M

    Nahitaji mume wa Kiislam

    Picha siwezi kuweka ila nitamtumia atakaye onesha kukidhi vigezo Umri wangu ni miaka 31 Nafkiri unaweza kuona sababu cha kuweka umri wa mwenza 35 hadi 45...ili tofauti isiwe kubwa sana
  5. M

    Nahitaji mume wa Kiislam

    Wapendwa na mimi najitokeza kujitafutia mwenza kama yupo anaye kidhi vigezo namkaribisha. - Awe Muislam wa umri wa kuanzia 35 hadi 45 hivi - Awe na Elimu kuanzia Diploma na kuendelea na awe ameajiriwa au kujitegemea - Awe hajaoa ila kama ana mtoto mmoja sio tatizo - Awe...
  6. M

    Natafuta mwanamke - rafiki

    Mimi naishi Arusha ni kijana mstaarabu nilieajiriwa Serikalini mwenye kipato cha kawaida. Nahitaji kupata mwanamke atakayekuwa rafiki yangu. Sifa; 1. Awe anajiweza financially kwani kipato changu ni cha kawaida 2. Tuwe tunaweza kukutana naye hasa weekend 3. Awe na Afya njema 4. Awe na umri...
  7. M

    Kampeni ya kukataa NSSF

    Mimi nilichoelewa ni kuwa kikokotoo kilichotolewa ni guide line...unaweza kuchukua makadirio ya chini au ya juu. Hii mifuko iliyokuwa ya wafanyakazi wa serikali inatoa mihela hadi inawekewa limit wakati Nssf wao pamoja na uekezaji wa kutisha wanasubiri hadi washinikizwe na serikali kuwa...
  8. M

    Nahitaji mtu wa kushea nyumba

    Nyumba yenyewe iz a self contener house bed room mbili, Sitting room, Jiko na choo (vya kushea) Ni nzuri kwa mabachelor Mimi mwenyewe nipo Married ila wife yupo mkoa mwingine hivyo mara nyingi mimi husafiri na kuweka kufuli
  9. M

    Nahitaji mtu wa kushea nyumba

    Nimebadilisha mawazo kwani wengi waliokuja nahisi hawakuvutiwa na nyumba
  10. M

    Mdada/mama (miaka Kati ya 30 to 45) anahitajika

    Hii Preta, nafikiri maswali mengine yananoga kumjibu muhusika kiufupi najitegemea
  11. M

    Mdada/mama (miaka Kati ya 30 to 45) anahitajika

    Apoligise lady, nimesema huyo mdada awe na Afya njema, singeweka hiyo sifa kama mimi sina. kaunga; Rorena amesema anatafuta mume, mimi nimesema natafuta rafiki (ni sifa mbili tofauti) preta; kuhusu suala la kichumi hiyo Ni sifa ya ndani na inamuhusu muhisika, ila kiujumla mimi Nina simple life...
  12. M

    Mdada/mama (miaka Kati ya 30 to 45) anahitajika

    Kama wewe ni mdada/mama wa umri huo na unataka kuwa na rafiki wa kiume wa kumwamini Sifa; Awe na Afya njema Awe na kipato chake kizuri atakuwa huru kuwasiliana na mimi na kukutana kwa nafasi itakayokuwepo Naomba kama unasifa hizo unitumie private message (pm) Akiwa yupo hii Mikoa ya...
  13. M

    Valentine specials

    Naomba kutangaza kuwa tuna nafasi chache zimebaki kwa wadada wa Moshi/Arusha umri kuanzia miaka 29 to 40 ambao wanajiona wapo wapweke kipindi hiki. Masharti ni marahisi tu: 1.Awe ni mdada/mama anayeweza kujitegemea ili awe na amani wakati wote. 2.Asiwe na full commitment mahali pengine ili...
  14. M

    Vitz namba c na namba b zinauzwa 0656 43 66 62

    Labda na mimi nitoe ka uzoefu kangu, unaweza kukaa na gari miaka kumi ila unatumia kwenda kazini/Kanisani/Msikitini umbali wa KM 5 tu hivi kwa siku; lakini pia kuna watu wanatumia gari kwenda kazini umbali wa zaidi ya 140km (kwenda na kurudi) kila siku (mfano, moro to Dar; au Arusha Moshi kila...
  15. M

    Utata mkubwa kwenye Gharama za kuunganishiwa umeme

    Nimekuwa nafuatilia taratibu/gharama za kufungiwa umeme manispaa (mjini) na kushtushwa na ughali wa gharama hasa kama upo umbali unaozidi nguzo mbili. Kwa gharama za kawaida (zilizopunguzwa?) kwa nguzo tatu imefikia zaidi kidogo ya 1.4m (Manispaa) Nilivyo hoji hizo gharama zina jumuisha nini...
Back
Top Bottom