Kanisa ni UNAFIKI NA UPUUZI MTU.LIMEPITWA NA WAKATI. It is nolonger relevant. Wanatafuta pesa za kula tu.Hopeless.SINA DINI baada ya kugundua uthaifu mkubwa wa kanisa.Kanisa lilikuwa colonial instrument ktk kutawala Afrika kimabavu.Spirit hiyo bado ipo.
Mpaka sasa ACACIA wameshindwa kutoa hati yao ya usajili hadharani.Kwasababu hawana.Barrick wametoa.Acacia wametoa letter of intentition to consider usajili walioandikiwa wa BRELA.
Lakini certificate of compliance ambayo ni takwa la kisheria kifungu cha 435 cha sheria ya makapuni hawajaitoa...
I dont care.Uwakili unaenda kufa.Siyo dili tena.Bodi inayotarajiwa kuundwa ndo sanda ya uwakili.Nafanya biashara za Mbao Dodoma.Sina hamu na uwakili tena.Kitu pesa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.