ACACIA wekeni hati yenu ya usajili "certificate of compliance" hadharani.

Mligo Likeve

Member
Jun 7, 2017
10
45
Mpaka sasa ACACIA wameshindwa kutoa hati yao ya usajili hadharani.Kwasababu hawana.Barrick wametoa.Acacia wametoa letter of intentition to consider usajili walioandikiwa wa BRELA.

Lakini certificate of compliance ambayo ni takwa la kisheria kifungu cha 435 cha sheria ya makapuni hawajaitoa. Hawana cheti hiki.

Walijificha nyuma ya mkongo wa BARRICK kama Holding kampani wakati haya ni makampuni mawili tofauti, yenye haki na wajibu tofauti. ACACIA WEKENI HATA YA USAJILI WENU HADHARANI ILI YAISHE.

Note:Sheria ya makampuni kifungu cha 472 inasema wazi kabisa kuwa kumpuni kufanya shughuli zake bila usajili ninkosa la jinai.Adhabu ni kifungo jela.Kanuni ya lifting of the veil inataka wakurugenzi wa ACACIA wakamatwe na waburuzwe mahakamani kwa kosa hilo la jinai.
 

Pohamba

JF-Expert Member
Jun 2, 2015
23,866
2,000
TRA nao watueleze walitoaje TIN ya kulipia Kodi kwa kampuni ambayo haina usajili wakati Sharti la kupata TIN kwa Kampuni ni kuwa na usajili!

Inakuaje Kampuni isiyo na usajili BRELA iweze kuandikishwa Dar es salaam Stock Exchange?

Kama Acacia haijasajiliwa kweli ni aibu zaid kwa Nchi kuliko Kampuni yenyewe maana hata Rais kataka waanze Mazungumzo nao wakati akijua ni kampuni Haramu
 

Criterion

JF-Expert Member
Jan 8, 2008
10,778
2,000
Mpaka sasa ACACIA wameshindwa kutoa hati yao ya usajili hadharani.Kwasababu hawana.Barrick wametoa.Acacia wametoa letter of intentition to consider usajili walioandikiwa wa BRELA.LAKINI certificate of compliance ambayo ni takwa la kisheria kifungu cha 435 cha sheria ya makapuni hawajaitoa. HAWANA CHETI HIKI.Walijificha nyuma ya mkongo wa BARRICK kama Holding kampani wakati haya ni makampuni mawili tofauti, yenye haki na wajibu tofauti. ACACIA WEKENI HATA YA USAJILI WENU HADHARANI ILI YAISHE. Note:Sheria ya makampuni kifungu cha 472 inasema wazi kabisa kuwa kumpuni kufanya shughuli zake bila usajili ninkosa la jinai.Adhabu ni kifungo jela.Kanuni ya lifting of the veil inataka wakurugenzi wa ACACIA wakamatwe na waburuzwe mahakamani kwa kosa hilo la jinai.

Kamati kama haikujibidiisha kutafuta strengths za hii kampuni, badala yake wamekurupuka ili kujipatia sifa machoni pa wakuu ili wakubalike, bila shaka ACACIA hana sababu ya kuweka vitu hadharani. Hata mimi kama kamati inachunguza pembeni na ku ignore kunisikiliza kisha kuchukua maamuzi, sinasababu ya kuweka utetezi wangu mitandaoni kwa kuwa mitandao haina nguvu yoyote ya kisheria ya kunihukumu zaidi ya kunisupport ama kuni oppose kwa sauti.

ACACIA kama wana hakika walisajiriwa ama wame comply, bila shaka wanatunza vielelezo vyao kwa hatua zinazofuata ikiwa walalamikaji wataendelea kukwepa kukaa nao maza moja.

Mziki huu ndiyo unaanza. Tuangalie mwisho wake. ACACIA wanaonekana wapole na watulivu. Ninahakika they know what they are doing.

BTW, sheria inasemaje. ACACIA watashitakiwa kwa jinai peke yao bila wenzao, wawakilishi wa sriklai waliopewa dhamana a kusimamia makampuni haya? Vipi wale wamekuwa wakikusanya kodi za biashara hii haramu? Namna gani wasimamiz wa compliance kutoka serikalni au hakuna hicho kitu Tanzania?

Hii kesi haiwezi kuwa kesi bila watu kuingia mzigoni kwa conspiracy. Au ndiyo sababu tunalazimisha washitaki hapa hapa nchini wasiende katika mahakama za kimataifa kwa sababu kuna mkono wa kina bashite ambao lazima walindwe kwa gharama yoyote ile?
 

king mswaty

JF-Expert Member
Aug 6, 2014
317
250
Hii nchi ni ya ajabu Sana kiukweli mm binafsi iliwai kuni face hii kitu nilisumbuliwa kufungua accnt balaa lkn,CCM wakiamua lao halishindikani leo mnataka wawaoneshe iyo certificate wakati Bashite hadi leo hajaonesha,sasa aanze bashite kwanza nao wataonesha,shame of u members wa chama cha wafirisi Tz msio kuwa na hata chembe ya uoga Kazi kupinga tu ya msingi na mmewaambukiza mpaka vijana wenu wamekuwa nao watumwa wa fikra,Taifa hili linaitaji ukombozi wa fikra
 

baba yetu

Member
May 23, 2017
56
125
Myahudi sio MTU wa kawaida katika ulimwengu huu. Haya yote ni kuzunguka mbuyu, MYAHUDI ndo mwizi wetu akishirikiana na wanashera wetu.(wao wanajiita wanasheria)
 

mitale na midimu

JF-Expert Member
Aug 26, 2015
10,210
2,000
Myahudi sio MTU wa kawaida katika ulimwengu huu. Haya yote ni kuzunguka mbuyu, MYAHUDI ndo mwizi wetu akishirikiana na wanashera wetu.(wao wanajiita wanasheria)
Ni wanadamu tu wa kawaida usiwape sifa zisizo na mashiko.
Tuache haki zifuate mikondo yake...
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom