calmdowndear
JF-Expert Member
- Jul 12, 2011
- 605
- 274
Rushwa hapa imeweka residence
Wanafaulisha watu wenye pesa na wakuwa watoto wa maskini ndio wanafelishwa
Mnaosubiri matokeo endeleeni tuu kusibiri lakini mjue kuwa kama hukutoa hongo imekula kwenu na hakuna chance za appeal
Wana JF tunaomba msaada juu ya hili