Recent content by Mligo Augustino

  1. M

    Mh Rais amemgundua mnyama mkali TRA

    Kitengo cha MAKADIRIO ya kodi TRA ndo kinaua uchumi wa nchi hii. Wale madogo hawana huruma. Ni nusu kwa nusu na serikali. Na wanata cash. Kitengo hicho ka alivyosema Mhesh.Msukyma wawekwe wanajeshi au usalama wa taifa. Bila kuchukua hatua juu ya kitengo hicho biashara zitaendelea kufungwa...
  2. M

    Rais Magufuli: Mkoa wa Njombe hasa mji wa Makambako ndio mji wenye nyumba na Makazi bora Tanzania

    Moshi bado kuna mba za tembe nyingi sana. Njombe huwezi ukaiona nyumba ya tembeHata vijijini kuna nyumba nzuri na zimepangwa vizuri kana kwamba kumepimwa. Njombe people are very smart. Nyumba za nyasi hazipo kwa sababu maeneo mengi yanalimwa viazi ngani maharage chegele mahindi na maeneo mengi...
  3. M

    Tundu Lissu: Namuunga mkono Dk Nshala Urais TLS

    Ruge tutampitisha kwa kura nyingi kuwahi kutokea.Hata hivyo tutamtaka apunguze ADA na kuondoa kabisa michango isiyo na maana TLS.
  4. M

    TCU iache kukumbatia mlango moja wa kwenda mbinguni

    Kwanza kabisa tunawapongeza TCU kwa kazi nzuri ya kuboresha elimu ya juu nchini. Hata hivyo TCU inatakiwa kubadilika ktk sera zake kulingana na mahitaji halisi ya nchi na jamii ya wakati husika: 1.Syllabus za elimu ya juu bado zipo kizamani. Taaluma inayofundishwa vyuoni haimuandai kijana...
  5. M

    Uchaguzi TLS 2019, tuchague viongozi watakao tututua "ndoo ya michango mingi," siyo wanasiasa.

    Tls kuna tatizo kubwa la viongozi tunaowachagua kujikita kwenye mambo mengi yasiyo na masilahi kwa welfare ya mawakili. Safari hii tusifanye kosa tena . Tuchague kiongozi atakayeenda kupunguza michango mikubwa ya TLS(annual fees na michango mingine).Mawakili wengi wako mtaani wanashindwa...
  6. M

    Kwanini Wakili Kibatala asigombee Urais TLS kuinusuru isiangukie mikononi mwa John Seka na Godfrey Wasonga?

    Nasema wazi kabisa, Seka hafai hata kidogo,ataenda kuwatwisha mizigo mikubwa ya michango kwa mawakili. Alipokuwa Raisi tls alishindwa kupunguza annual fees,badala yake aliongeza. Huyu hatufai hata kidogo. Mawakili ambao tunaamini kwa historia zao kuwa wataenda kutetea na kulinda welfare ya...
  7. M

    Kwanini Wakili Kibatala asigombee Urais TLS kuinusuru isiangukie mikononi mwa John Seka na Godfrey Wasonga?

    Wakili Magdalena Silvester anafaa sana. Alipigania sana kuondoa michango isiyo na tija tls. Ni mpigania haki za wanyote ndani ya tls. Akina Seka ndo watu waliopandisha fees za tls. Hafai.
  8. M

    Mhadhiri wa chuo kikuu Iringa amjibu mhadhiri wa UDOM kuhusu kelele za Tundu Lissu

    Akitoa maoni yake juu ya mtazamo na hofu "hewa" aliyonayo mhadhiri wa UDOM juu ya propaganda za Lissu huko majuu, Dr. Mligo amesema kuwa, kauli za Lisu hazina madhara yoyote kwenye chaguzi za TZ za mwaka 2020. Na kwamba mhadhiri wa udom amejiongoza vibaya kwakushindwa kuleta hard facts...
  9. M

    Ziara ya Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA Tundu Lissu, Ulaya na Marekani

    Hakuna tija ya mtu mwenye akili timamu kuwasimulia ubaya wa nchi yako kwa watu wa nje ambao kwa namna yoyote ile hawana mchango wowote kwa nchi yako. Hiki ni kiwango cha juu kabisa cha mtu kutokuwa na uzalendo wa nchi yako. Sasa Tundu Lisu anawasimulia hao mambo mabaya ya TZ ili iweje? Anataka...
  10. M

    Hongera Waziri Prof. Mbarawa, Juma Aweso na Prof. Kitila Mkumbo kwa kuinyosha wizara ya MAJI

    Wizara hii nyeti kwa wananchi ilikuwa hovyo sana. Hawa jamaa wamepambana sana kuhakikisha inakuwa na tija kwa Taifa. Hongereni sana. Msilegeze kamba. Makandarasi wa hovyo fukuza. Mainjinia wa hovyo fukuza. Hii ndo dawa ya wizara hii. Wizara hii sasa inanyoka na kuleta matumaini kwa...
  11. M

    CCM Kupokea Maoni ya Wananchi Juu ya Muswada wa Vyama Vya Siasa JNICC kesho

    Mimi ni mwanacccm na mwanasheria. Hicho kifungu kinachompa msajili wa vyama mamlaka makubwa hata ya kumuondoa kiongozi wa chama madarakani, kumfuta uanachama mwanachama ni HATARI sana hata kwa ccm. Mabeberu na maadui wa nchi hii wanawezapita hapo kuleta machafuko hata ndani ya ccm.
  12. M

    Je, Zitto Kabwe alipotosha kuhusu operesheni ya kummaliza (SAI)?

    Zitto ni chombo cha kuchezea akili za watz na nichombo cha kuvuruga upinzani. He is in th payroll. Usipoteze muda kwa kufuatilia fake news za Zitto. Mwenzako yuko kazini. Dont take him seriouslly.
  13. M

    Spika Ndugai amtaka Prof. Assad(CAG) kufika mbele ya kamati ya maadili vinginevyo atapelekwa kwa pingu

    Masondo alikimbilia CCM kwa masilahi binafsi. Hili nilisema toka mwnzo. Sasa he is proving the allegatikns against himself. Kikatiba BUNGE kama chombo wa wananchi lina mamlaka ya kumuita mtumishi wa umma yoyote yule. Msemaji mkuu wa bunge ni spika Ndungai kwa sasa. CAG alivunja ETHICS za...
Back
Top Bottom