Mwanakijiji ana mawazo yake mwenyewe ambayo kwa wengine 'wasio waangalifu' yana madhara makubwa. Wanaochagua kufuata fikra zake wanatakiwa kufuata kwa mbali na kwa tahadhari. Yeye anaunga mkono CCJ, anaunga mono CHADEMA na anaunga mkono na CCM. Kwake ni heri CCM iliyo kwenye mgawanyiko iendlee...
Katika mazingira haya tuliyofikia, ambapo serikali imedhihirisha kwa wazi kuwa imekuwa legelege isiyo na meno, inayoshindwa kukataa kwa sauti kubwa kuwa haikuhusika na utekaji wa Ulimboka, inayoshindwa kuonesha kwa dhati kabisa kuwa inakerwa na vitendo vya kihuni kwa mwamvuli wa dini...
Dada yangu Kwanza karibu jamvini, kama ulivyokaribishwa na wenzangu. Nimefuatilia hoja zako. Nimeridhika wewe ni mtu wa viwango adimu. You are an intelligent lady. Hujaribu wala kuigiza. Ulizaliwa kwa ajili ya jukumu hili ulilolianza. Nawashangaa kidogo wanaokufananisha na hawa watu tuliowazoea...
Hawa watotoyawezekana walikuwa kwenye utafiti ili wajue wanachoambiwa na watu wazima kuwa anayechoma Msahafu anakuwa kichaa au kugeukakiumbe kingine yana ukweli au wanazugwa tu. Hata huyu mtoto wa kiislamu hainijii akilini kuwa alikuwa anaiamini kauli ile ndiyo maana akakubali kuchukua msahafu...
Nakubaliana na ww kabisa, hasira ya waliovamia na kuharibu makanisa haitokani na msahafu 'kukojolewa' bali mtoto anayeaminiwa kukojolea kuthibitisha kinyume chake na hivyo kupunguzia kiwango cha imani ya watoto wa madrasa walikuwepo kuhusu 'nguvu' ya msahafu
Hivi kama huyu mtoto angekuwa chizi...
Huyu hakuwa kijana kwa maana unayotaka tuamini. Alikuwa mtoto akitaniana na mtoto mwenzie. Hebu nikuulize wewe kwa akili yako unaweza kuchukua Msahafu Mtukufu uende ukakojolewe? Na ukifanya hivyo hata kama ni mtu mzima tutakuita mtoto. Hata huna maadili na mapenzi na dini yako. Hawa walikuwa ni...
Pale serikali iliyoko madarakani imeua General Tyre hivi hivi na bado Raisi aliye madarakani aliahidi kutoa ajira lakini kama unavyosema kule arusha hakuna ajira. Mimi ningekuwa wewe nisingewalaumu wasio na ajira bali wale wanaoendesha nchi kwa sera mbovu za ubinafsishaji na ahadi hewa...
Ni kweli Asha kwa alivyo ni vigumu kuwa'win' wanawake. Hajajiweka karibu nao sana ingawa anaonekana kuwa 'simple'. Hawaezi kujilinganisha na kina Sofia Simba au Ana Malecela. Siasa za mikiki mikiki na sauti yake ya kubembeleza vitaendana kweli. Asithubutu ataumbuka na atakiumbua chama chake...
Hilo la CCM kuwa chama kinachotawala lina ugumu gani kulielewa hilo? Wala halihitaji kupigiwa debe kama unavyofanya. Ukishaona mwanaume anarudia rudia yeye ndiye mume na baba hapo nyumbani ujue kuna mushkeli katika kukubalika kwake. Ana tatizo. Anyway CCM ndicho chama kinachoiongoza nchi 'fine'...
Which are opinions and which are facts in this? What effort have you made to separate the two? Are you talking to yourself or to someone else? Take an effort.
Ipo haja ya kujihoji kwa nini hawa watu kutoka Mbeya wanaandamwa na matukio ya kutishiwa uhai? Kulikuwa na Mwandosya, Mwakyembe, Ulimboka na sasa Mwangosi. Wameikosea nini CCM?
Siafikiani na mawazo yako ya kumkatisha tamaa asigombee. Amejieleza vya kutosha namna alivyohusika na ajali iliyotoa uhai wa Wangwe. Mimi ameniridhisha kwa kiwango kikubwa kutohusika kwake na mauaji ya Wangwe ikiwa nimedanganyika basi hayo namwachia Mungu. Sioni sababu ya kuendelea kuamini...
Huo utaratibu wa kufanya kazi ndiyo uliosababisha hadi leo watu wanachekelea chenji ya rada wakati waliokula rushwa wenyewe wapo wanadunda na wanazidi kulundikiwa vyeo? Utaratibu ndio uliofanya wauza madawa ya kulevya aliosema Raisi Kikwete anawajua wasichukuliwe hatua hata leo? Utaratibu ndio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.