Recent content by MlekwaKik

  1. MlekwaKik

    JamiiForums Tanzania SoC03 Unafiki, uoga, ubinafsi, uongo na malezi yetu

    Kikwazo kikubwa cha uwajibikaji na utawala bora katika nchi yetu ni malezi anayopitia mtanzania wa kawaida, kuna namna ambavyo malezi yetu kuanzia shuleni hadi nyumbani yanatengeneza vijana waongo, wanafiki, wabinafsi na waoga. Maisha yetu kuanzia tukiwa watoto mpaka tunakuwa watu wazima ili uwe...
  2. MlekwaKik

    JamiiForums Tanzania Kama ningekuwa Muhitimu wa Kidato cha Sita Mwaka huu 2022. Ningefanya nini cha Tofauti??

    :D:D:D:D:D:D:D upo sahihi mkuu kuna watu boom ndo mtaji wala hawana habari na masomo
  3. MlekwaKik

    JamiiForums Tanzania Kama ningekuwa Muhitimu wa Kidato cha Sita Mwaka huu 2022. Ningefanya nini cha Tofauti??

    Siwezi kuupinga mtazamo wako, upo sahihi pia na ninaheshimu sana mawazo yako Mkuu. Asante sana kwa mchango wako na kuisoma post yangu, umenipa heshima kubwa sana kwa kusoma na kutoa maoni yako. Mungu wa Mbinguni akubariki sana.
  4. MlekwaKik

    JamiiForums Tanzania Kama ningekuwa Muhitimu wa Kidato cha Sita Mwaka huu 2022. Ningefanya nini cha Tofauti??

    Amen. Asante sana sana hakuna Dua kubwa ya kumuombea binadamu zaidi ya hii ya kumuombea mtu Pepo. Kwa kuiwaza Pepo kuwa zawadi ya juu kabisa kwa Binadamu basi hata wewe pia Pepo inakuhusu maana ipo katika mazingatio yako ya maisha.
  5. MlekwaKik

    JamiiForums Tanzania Kama ningekuwa Muhitimu wa Kidato cha Sita Mwaka huu 2022. Ningefanya nini cha Tofauti??

    Kama ningeweza kurudisha muda nyuma ili nirudi kuwa muhitimu wa kidato cha sita mwaka 2022, basi ningefanya yafuatayo ili niandae vizuri kesho yangu: Sitaomba Chuo Kikuu kwasababu tu nimemaliza kidato sita na nimefaulu kupata vigezo vya kuingia Chuo Kikuu. Sitaingia Chuo Kikuu kwasababu tu...
  6. MlekwaKik

    JamiiForums Tanzania SoC01 Ushauri kwa waliomaliza Kidato cha 6 (baada ya matokeo): Nini cha kusomea Chuo Kikuu Kupambana na Soko la Ajira

    Ushauri mzuri kabisa na wa bure kabisa, sema sasa wanaopewa ushauri wenyewe huwa wajuaji hao. Wana mipango yao hewa na huwa hawasikii la mtu. Utakuta anakwambia mi nataka kuwa Doctor au Engineer kama Brother au Baba ana hela kweli na gari zuri sana. Unapowaambia habari za kuangalia miaka 3 au 5...
  7. MlekwaKik

    JamiiForums Tanzania NBS hawajazingatia vigezo vya human machine interaction katika mfumo wa uombaji wa kazi za muda mfupi za Sensa

    Bado sio sawa kuwa na mapungufu ya kitaalamu, haipo sawa. Manesi wakiweka hospitali za muda mfupi katika viwanja vya maonesho huwa hawatumiii vifaa feki kupima wagonjwa. Wanaenda wakiwa full na kila kitu.
  8. MlekwaKik

    JamiiForums Tanzania NBS hawajazingatia vigezo vya human machine interaction katika mfumo wa uombaji wa kazi za muda mfupi za Sensa

    NBS wanawachezea akili Watanzania kwa kutumia uelewa wao mdogo katika mambo ya Technology na Haki za Watumiaji wa Mifumo mbali mbali ya huduma. NBS wamefanya uhuni kwa kutozingatia vigezo vya Human Machine Interaction (Usability and User Experience (UX)) katika mfumo wao wa kuomba ajira za muda...
Back
Top Bottom