Nenda carlcare service center, Itakucost kama 25,000 ila watakuwekea og, uhakika wao ni kwamba tatizo likijirudia unarudi tena, kioo kujibonyeza kwenye cm za tecno hiyo ni touch imekufa.
Nikupe mfano kwa mwanza kuna soko kubwa sana la simu used gorofa la sweet corner , hapa kila aina ya simu used utapata iPhone, Samsung, vivo, oppo,redme na takataka zote, hapa wanachukulia Nairobi na usafiri wa Nairobi na mwanza ni rahisi sana, profit yake ni kubwa mno tofaut na wanaouza sim za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.