Mledi haswa
Senior Member
- Jan 17, 2013
- 161
- 172
- Thread starter
- #21
500k ni pesa kubwa lakini hapana mkuu500k ipoooo
500k ni pesa kubwa lakini hapana mkuu500k ipoooo
Bei kubwa mno na bado mtu alipie kodi ya eneo😠itafika hata milioni 7,Banda bado lipo wadau , nicheki hewani tufanye biashara
Kodi ya eneo unalipa miezi mingapi,ulinzi unalipa bei gani?Hesabu nzuri ni kwa trei za mayai , hua nauza 4 kwenda juu kutegemeana na siku , kwa 500k hapana mkuu , mwisho 1.5
Kodi hata kwa mwezi mmoja hua anapokea , ulinzi 5000 kwa mweziKodi ya eneo unalipa miezi mingapi,ulinzi unalipa bei gani?