Recent content by mlanguzi

  1. mlanguzi

    Ndoa ya Dr. Slaa na Josephine ni ruksa, hakuna pingamizi tena dhidi yao

    nasikia inapigwa mchana siku ya ramadhani. Kweli bado dk slaa ni Padri. hata hangojei ramadhani ipite. halafu anataka urais wa nchi yetu
  2. mlanguzi

    Muundo wa Muungano: Tanganyika tunataka 'Serikali moja, nchi moja, taifa moja'!

    sioni mantikia ya hoja hii. Wabara karibu watapigana vita vya wenyewe kwa wenyewe. Washaanza chadema vs ccm.zanzibar hali shwari tusitake kuwaingiza zanzibar matatizo
  3. mlanguzi

    Tusipokemea, Redio Imaan itatuvuruga

    wewe chadema tu
  4. mlanguzi

    Tusipokemea, Redio Imaan itatuvuruga

    hahah. Kulalamika ndio asili ya watz. Mbona waislam wazanzibar hawalalamiki? Bunge linalalamika. Chadema wanalalmika. Madaktari wanalamika. Walimu wanalalmika? Hii ndio tz. Hata wakiristo wanalalmika?
  5. mlanguzi

    Tusipokemea, Redio Imaan itatuvuruga

    my take: Hapa wafuasi wa chadema wataungana na ccm. Likija swala madai ya waislam watz. User wa chadema wanaanglia zaidi ya dini zao kuliko utaifa. Tuanze mjadala
  6. mlanguzi

    Tusipokemea, Redio Imaan itatuvuruga

    duhu.chadema fulllll
  7. mlanguzi

    Tusipokemea, Redio Imaan itatuvuruga

    mdee ni muislam vile? Mbona hata hijab havai?
  8. mlanguzi

    Tusipokemea, Redio Imaan itatuvuruga

    kwani wakiristo mnao umoja? Si mlimtaka dk slaa awe rais?
  9. mlanguzi

    Tusipokemea, Redio Imaan itatuvuruga

    utajiju
  10. mlanguzi

    Tusipokemea, Redio Imaan itatuvuruga

    jipime, ujiangalie na ujitizimane. Mwisho wa siku utajiona unakasoro
  11. mlanguzi

    Tusipokemea, Redio Imaan itatuvuruga

    hata watz sio wote wenye fujo. ni wachache wanaodanganywa na CHADEMA KWA MASLAHI YAO
  12. mlanguzi

    Tusipokemea, Redio Imaan itatuvuruga

    kila mtu analalamika. waislam wanalalamika kwamba wakiristo wamewezeshwa lkn hawajali maslahi ya nchi. jee huu siutaifa?
  13. mlanguzi

    Tusipokemea, Redio Imaan itatuvuruga

    hilo ndio raha za waislam . hawachukii wakirsito. ndio maana mwalimu anakupenda. lkn wewe moyoni mwako Chuki kwa malimu huyo imekukaa. kwa kuwa ni muislam. na ulitamani usomeshwe na diniyako
  14. mlanguzi

    Tusipokemea, Redio Imaan itatuvuruga

    wao maisha yao si ya hapa hapa duniani tu? Wenyewe si washasema hawataki kitu huko mbele ya muumba wetu
  15. mlanguzi

    Tusipokemea, Redio Imaan itatuvuruga

    hii si mpya. Maana hata chadema wanalia lia lia tu. Wakipata nchi utawasikia akina slaa kama wanataka kuuliwa huwasikii tena
Back
Top Bottom