Mbona sijaona ulichoeleza hapa. Ninavyojua ni kuwa inatakiwa chaneli zilizoainishwa na TCRA zionyeshwe bure - yaani bila kulipia.
Hayo maelezo yako ni marefu na ya kuchanganya.
Hata bila kununua kingamuzi chenu cha Star time. FTA zimekuwepo miaka nenda rudi.
kwanini ninunue king'amuzi chenu...
Comme si je n'existais pas
Elle est passée a cote de moi
Sans un regard, reine de Saba
J'ai dit Aicha, prends, tout est pour toi
Voici des perles, des bijoux
Aussi l'or autour de ton cou
Les fruits bien murs au gout de miel
Ma vie, Aicha, si tu m'aimes
J'irai a ton souffle nous mènent
Dans les...
Nao huu hapa chini Unaitwa Djarabi-Adjatou Wa Pepe Kale.
Adjatou binti wa kutoka Burkinabe..
Burkina Fasso...Ouagadougou
Adjatou,
wewe ni mojawapo wa mifupa ya mwili wangu, damu inayozunguka katika vena zangu,
nipe maisha.
instrumental
Adjatou, binti wa Ouagadougou(wagadugu) nakusihi...
Abeti Masikini - Cherie Bade
Mpenzi Bade
Lobela ngai, Bade eh
Nini ngai na sala mpote na mona ba pasi Ya ndenge boye
Niambie Bade nimefanya kosa gani kupata mateso ya kiasi hiki.
Libala maman ah
Ewuta na paradiso oh
Nzambe tango asali mobali
Amoni kaka eloko mosusu ezali ko zanga Aye ko...
Na wachina wamejikita Chini ya mlima hapo Chemba. Ni marufuku kwa mtu yoyote kukatiza nyuma ya hiyo milima kwa mujibu wa mkazi mmoja hapo.
Inasemekana watu wameishapotelea chini ya huo Mlima. Watuambie wachina wanafanya nini chini ya Mlima huo?
Download Hizo Nyimbo kwa Waliozihitaji;
P-Funky_-_Please_Forgive_Me.mp3
Mr_-_Ebbo_-_Mi_Masai.mp3
Jambo_Squad_-_Wakusindikiza.mp3
Africa_Liberation.mp3
Enomic_-_Ziggy_D.mp3
Huruma_Kwa_Wagonjwa.mp3
Kali_P_-_Tumbo_Joto.mp3
Kcee_ft_Diamond_Platnumz_-_Love_Boat.mp3...
Wimbo wenyewe ni wa muda na una maneno yafuatayo;
"Siyo kusema kuwa nakupenda saana. Lakini ni nani wa kusema kuwa sikupendi.
Hayo ni maumivu ninayosikia, ninayosikia tuwapo mbali mbali.x2
Mimi naelewa kuwa ni makosa kuwa mbali mbali muda mrefu. Nikamwambia kila anaye kuhusu nikakupigia pia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.