Recent content by Mlamba asali

  1. M

    JamiiForums Tanzania AI (Artificial Intelligence) inaupeleka ulimwengu kwenye uharibifu mkuu, kwanini nawaza hivi?

    Weww huna tofauti na wale wazee wa Chattizim na Luddite kipind cha rise of mashine and industrialization na wao waliamini kama unavyoamini wewe leo tena wao wakaenda mbali zaidi kwa kuharibu hizo machines Lakini ni miaka zaidi ya mia tano sasa kama sijakosea walichokihofia wala hata...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kifo nisaa ngumu sana isio eleweka kwa akili ya kawaida

    Una hoja
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mwanaume timamu hakimbii nyumba wala kumkimbia mke wake akaacha mali zake

    Bado una mengi ya kujifunza
  4. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Nani kuwa Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara baada ya Mzee Kinana kujiuzulu?

    Msigwa amka utajikojolea
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kwenye maisha yako ya utafutaji, usije ukarogwa ukakimbilia Moshi

    Jamii zote zilizoendelea zinafanya hivyo na sio jambo baya kuwapa support watu wa kwenu. Wahindi, wazungu , wayahudi wajapani wanafanya hivyo kwanini wakifanya wachaga inakua nongwa
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kwenye maisha yako ya utafutaji, usije ukarogwa ukakimbilia Moshi

    Asante kwa kuja na Karibu tena Moshi Siwezi kuja kununua kwako wakuja ikiwa ndugu yangu ana bidhaa na huduma yenye ubora sawa na wewe Jaribu kuboresha bidhaa na huduma yako tutakuja tu. Punguza makasiriko
  7. M

    JamiiForums Tanzania Ili kazi zako ziende, omba Yesu kila asubuhi usije sema una gundu

    Kuandika kwa herufi kubwa n sawa na kuongea kwa kupayuka. Kwako mleta mada
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kifo cha kizembe cha mwanafunzi wa kidato cha 6 jeshini

    Ajali n ajali tu.
  9. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri: Anakataa kunipa penzi licha ya kuwa tunaishi pamoja, tutafika kweli?

    Anza kugonga nyeto mbele yake
  10. M

    JamiiForums Tanzania Nimepata mtoto wa kiume usiku huu, baada ya kuwa kwenye ndoa kwa zaidi ya miaka 7

    Kwenye ndoa zenu kuna watoto wetu.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna ukweli kuhusu uwepo wa karanga Mti?

    Mule ndani ndio kuna karanga
Back
Top Bottom