Recent content by Mlalamikaji

  1. M

    Goli ni Goli; la Mpendazoe nalo Goli!

    hehehe kwa hiyo ubunge siyo uongozi and wajumbe wa shina ndo misingi ya uongozi? CCM wamelewa na wapo chakari kweli na kilevi cha mchana
  2. M

    Kampuni ya ajabu katika ujenzi

    Mtoa hoja atajuuuuuta kujifaragua. Fanya homework yako vyema kisha uje jukwaani na kitu chenye mashiko ama la unaweza kuanza kulalama kuwa unatukanwa ilhali weye ndo uliinvite madongo kwa post bogus
  3. M

    Mnawakumbuka watuma salamu maarufu redioni wa enzi hizo? Tujikumbushe kwa kuwataja...

    Huyu wa juzi juzi huyu. Unamkumbuka CHIVALAVALA S. CHIVALAVALA? enzi za salaaam mkulima, na vipindi vinginevyo vya salaam alikuwa anasikika na kuvuma. angekuwa leo hii bado yupo basi jamaa zangu (CCM) wanaopenda watu maarufu wanaokubalika basi wangemuaprochi agombee ubunge....
  4. M

    Malalamishi

    Mkuu karibu kama mimi ulivyonikaribisha mie natoka maana dola imekata hapa net cafe nakusihi tuwapigie kelele hawa jamaa mpaka masikio yazibuke watukaribishe kiheshima zaidi. Ah nimefurahi kujiunga JF maana nimeisikia sana na sasa nimo ndani
  5. M

    Kuwawezesha wabongo weusi! - Wazo hatari?

    Nachelea kuitwa mbaguzi Ila nadhani kama kutakuwa na fairness ktk opportunities suala kuwaendeleza black itakuwa tunapiga hatua mbele ya ubaguzi. Ila wanaowauza weusi kwa weupe ni viongozi wetu ambao ni weusi kwa asili.
  6. M

    The Life and Death of Michael Jackson & Other stories over him

    RIP wacko Jacko Anyway kila mmoja ataipita njia hiyo ila kaseshe kutangulia ingawa inasemwa mbeleni kuna raha kuliko za duniani lakini wanadamu wabishi kufa loh!!! Mungu amweke pema peponi
  7. M

    Malalamishi

    Jamani hivi nyie vipi wasela?? mbona naingia halafu sikaribishwi??? Nitasusa mimi au mnabisha????? Kama hamjambo hiyo hainihusu ila nawasalimia tu kwa jina la Amani na Upendo
Back
Top Bottom