Kosoa kwa hoja bila kubeza utu wa mtu. Kila kiongozi anapokuwa madarakani ni mbaya kwa nyie wanaharakati. Magu mlimsema mpaka akafa. Nyerere mwenyewe pamoja na watu kuwa wajinga ilimbidi ang'atuke maana ujamaa ulishindwa. Kipindi cha magu mlikuwa mnamiss na kumsifu Kikwete. Who knows what will...
Naomba kufahamu yupi bora kati ya wakili wa serikali na wakili anayejitegemea? Kama unahitaji wakili labda una case complicated kidogo yupi atafaa kati ya hao wawili? Msaada please
Mfano mwingine siku hizi kuna kitu kinaitwa "uchawa" ni kama aina ya upambe iliyoendelea zaidi.
Wanaume watu wazima wenye familia wanakuwa na kazi ya kuwasifia wasanii wanaoonekana wameendelea au watu wengine maarufu kwenye kila kitu.
Hizo sifa sio bure, wanapata hela na magari (kama...
Kabisa, unakuta mtu anatesa leo, ila baada ya miaka 10 ni kama hujawahi kushika hela maisha yake yote. Wanaishia kuhadithia tu
Bora kipato cha kawaida lakini kinacholeta amani na furaha kwenye maisha
Mwanamuziki R.Kelly ni mfano wa mtu ambaye alishindwa kutofautisha kati ya raha na furaha... matokeo yake yupo alipo leo hii ijapokuwa kuna kipindi alikuwa katika kilele cha mafanikio kwenye macho ya wengi! wengine ni wakina Michael Jackson, Whitney, na Chungu ya watu maarufu wa zamani ndani na...
Wakati tulionao jambo kubwa zaidi kwa watu wengi ni kujimudu kimaisha. Kila mtu anaamini ili aheshimike anahitaji kujiepusha kuwa tegemezi kwa watu wengine.
Wengi tunaamini kuwa na uchumi mzuri ndio msingi wa furaha maishani. Hili ni kweli japo sio msingi pekee. Swali la msingi la kujiuliza...
Kujenga ni jambo la msingi sana ila mtu ajenge kwa mujibu wa uchumi wake unavyomruhusu.
Biashara ni sawa pia ila chance ya kuzeekea kwenye nyumba za watu ni kubwa usipokuwa makini. Wafanyabiashara wengi wanacontradict mtaji na faida.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.