Recent content by mlaizer

  1. mlaizer

    JamiiForums Tanzania ARUSHA: Basi la Frey's aina ya Yutong lapata ajali mbaya na kuua

    Poleni sana!!Mungu akawe Faraja kwa familia za waliopoteza maisha.
  2. mlaizer

    JamiiForums Tanzania Dar es Salaam City in Photos

  3. mlaizer

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Rais Magufuli apokea ripoti ya uhakiki wa vyeti vya watumishi wa umma, awataka wajitumbue

    [emoji1] ni kweli.... Kihiyo.
  4. mlaizer

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naomba kujua ubora wa hii Star x led TV na TCL

    Natumia tcl,huu ni mwaka wa 6 na haijawahi kunisumbua..
  5. mlaizer

    JamiiForums Tanzania Waziri Simbachawene: Serikali haikusema itatoa ELIMU BURE, ilisema itatoa elimu bila malipo

    ELIMU BURE:huchangii chochote kwenye utoaji WA Huduma ya elimu ,mfano kutolipa kodi ambayo inapelekea Serikali kupata pesa ya kugharamia elimu. ELIMU BILA MALIPO:serikali inagharimia elimu kutoka chekechea hadi kidato cha 4 kupitia kodi ulizokatwa na Serikali..... Otherwise elimu bure = elimu...
  6. mlaizer

    JamiiForums Tanzania CCM Yaanzisha Chama Kipya Cha Walimu Baada ya Kushindwa Kumng'oa Mkoba CWT

    si kweli,chama kipya cha cwt ni zao la utaratibu mmbaya uliopo ndani ya cwt.
  7. mlaizer

    JamiiForums Tanzania Lukuvi aita hela ya Tanzania hela ya madafu Bungeni ashindwa kujitetea

    Kuna tofauti gani kati ya mtu kusema "hii ni serikali dhaifu" na "pesa ya serikali hii ni kama ya madafu"?
  8. mlaizer

    JamiiForums Tanzania Bsc accounts and finance vs ba a.f

    Hakuna Bsc.accounts and finance bali kuna Bachelor of commerce in accounts and finance.
  9. mlaizer

    JamiiForums Tanzania Muundo wa Muungano: Tanganyika tunataka 'Serikali moja, nchi moja, taifa moja'!

    Unaweza ukanisahihisha,this is what I know about Kenya constitution;"women representatives are for every county(47) but r elected in all constituencies, i mean voted in all constituency, but represent the whole county just like governor or senator"County tunaweza kuifanananisha na Mkoa(region)...
  10. mlaizer

    JamiiForums Tanzania Muundo wa Muungano: Tanganyika tunataka 'Serikali moja, nchi moja, taifa moja'!

    Hili linaweza kuwa baya kuliko yote,nimeangaika kutafuta kama kuna nchi duniani yenye mfumo kama huu nimekosa.Huenda Tanzania ikaweka historia kwa jambo la kipuuzi kama hilo.Mpaka hapa tulipo tunatakiwa kupunguza kwani ni gharama sana kuwalipa,unaweza ukaangalia uwiano wa wanawake bungeni...
  11. mlaizer

    JamiiForums Tanzania Karipio kali la Mwanakijiji kwa CHADEMA na Majibu ya Dr. Slaa

    message sent
  12. mlaizer

    JamiiForums Tanzania Mulugo: Adhabu ya viboko kwa wanafunzi shuleni itarudishwa ili kujenga nidhamu

    mwalimu ana shida na majukumu mengi sana,viboko vinamsaidia nini?
  13. mlaizer

    JamiiForums Tanzania Kushuka Kwa Kiwango Cha Elimu Nchini Serikali kurudisha Viboko Mashuleni

    Walimu wanapata faida gani kwa kuwachapa wanafunzi?
  14. mlaizer

    JamiiForums Tanzania Polisi wamkamata Lwakatare, apelekwa kwa mahojiano Makao Makuu

    Ni vizuri Lwakatare amekamatwa ili Watanzania waweze kufahamu ukweli hili. Huenda serikali na CCM wakaishia kuaibika mwishoni na kuendelea kuijengea CHADEMA/Lwakatare umaarufu kwa wananchi.
Back
Top Bottom