Recent content by Mlafu

  1. Mlafu

    Je, mwanamke aliyekeketwa huwa anaridhika kimapenzi?

    Sasa lengo la kufanya hivyo huwa ni ni hasa. Manake mpaka sasa nimejaribu kutafuta kujua lengo kuu ni nini sijapata majibu
  2. Mlafu

    Usiangaike na mwanamke angaika kutafuta pesa

    Nakubaliana nawe kea asilimia zote kwasababu nina mifano na ishanitokea. Nilioa na mke wangu nilikua namchakata vizuri sana nilivoyumba kiuchumi lakini hatukukosa pesa ya kula mke wangu alibeba kila kitu. mpaka nguo zangu kaondoka mpaka sasa anaishi na mwanaume mwingine nina rafiki zangu...
  3. Mlafu

    Naomba ufafanuzi na mchanganua wa ujenzi wa uwanja wa mpira

    1. Kanuni za Soka: Uwanja wa Mchezo Uwanja wa uchezaji wa sheria na kanuni za mpira wa miguu unahitaji kuwa na sura ya mstatili. Sehemu ya kucheza inapaswa kuwa na mistari ya wazi na inayoendelea ya mpaka. uso wa uwanja unaweza kuwa wa asili kabisa (kwa mfano nyasi) au inaweza kuwa uso wa...
  4. Mlafu

    Ujio wa Sex Dolls: Dunia inaenda kasi

    Njoo nikuoe mimi
  5. Mlafu

    Ulishawahi kusingiziwa ujauzito wakati wewe si muhusika? Je, ulifanyaje kukabiliana na hali hiyo?

    Patamu hapo. Sijui wanatuonaga sisi wendawazimu au hatuna akili tokea nizaliwe siwalewagi hawa watu.
  6. Mlafu

    Je, mwanamke aliyekeketwa huwa anaridhika kimapenzi?

    Hawawezi eleza lolote kwani ni suala ambalo huwa siri ya familia au ukoo
  7. Mlafu

    Je, mwanamke aliyekeketwa huwa anaridhika kimapenzi?

    Kwa kiasi kikubwa nimekuelewa mkuu manake ninaye mmoja mrangi kafanyiwa hivyo sijawahi ona anafurahia kama wengine
  8. Mlafu

    Je, mwanamke aliyekeketwa huwa anaridhika kimapenzi?

    Nataka kujua hawa dada zetu waliokeketwa wakiwa wadogo hawajitambui kipindi hicho je wanakabilianaje na suala la kuridhishwa kimapenzi. Maana huwa nasikia ni wagumu sana kukojozwa kabisa sasa je wanaridhika? au bora liende na je wanakabilianaje na hili suala maana nasikia bado baadhi ya mikoa...
  9. Mlafu

    Rafiki yangu kaiba mpenzi wangu

    Umenena vema. Ni vema wazazi tukabadilisha mfumo wa maisha ili watoto wetu wajifunze maisha.
  10. Mlafu

    Nilimpenda mdogo mtu, Dada mtu akanipenda zaidi hali iliyopelekea kuwa nao wote kwenye mahusiano

    Mkuu kwa Dunia ya sasa nakushauli muoe huyo anaekupenda. Mwanamke akikupenda ni rahisi sana kuvumilia, kukusamehe na kukuelewa katika hali unayopitia na huwa ngumu kutoka nje ya nyumba.
  11. Mlafu

    Mahusiano yanataka kuniua kwa stress. Nimezaa watoto wawili nje ya ndoa, mke wangu amenisamehe ila natamani kuachana naye

    Omba uhamisho kwa namna yéyote ile ukihama hali itatulia lakini mkeo usimwache manake kakubali kukusamehe na madhambi yote hayo.
  12. Mlafu

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Hongera sana likini omba MD asijue kazi utakosa na utalazimika kuoa mke wa pili. Sent using Jamii Forums mobile app
  13. Mlafu

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Na wazee watasemaje? Sent using Jamii Forums mobile app
  14. Mlafu

    Anataka nauli ya ndege

    [emoji1787][emoji1787] Sent using Jamii Forums mobile app
  15. Mlafu

    Anataka nauli ya ndege

    Kweli kabisa. Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom