Recent content by mkwere59

  1. M

    JamiiForums Tanzania UKAWA waweseka kuelekea uchaguzi mkuu

    Point na maelezo yako hayana mashiko maana inaonekana umelalia upande mmoja na kumuombea kura lowassa lakini mtanzania wa leo sio yule wa jana! Na watanzania tunahitaji Raisi mwenye afya, mwadilifu, mfuatiliaji na mchapakazi na sio roboti ambaye hatakuongea anashindwa badala yake akina...
  2. M

    JamiiForums Tanzania John Magufuli kwa mujibu wa Salva Rweyemamu

    Kila mtu ana mazuri na mapungufu yake ila tunacho angalia nani anaunafuu kuliko mwingine! Mbona hata lowassa tenda zote za H/w monduli kampatia dada yake lkn hatusemi?, sumaye nae mbona anamiliki hekari zaidi ya 300 za shamba huko kibaigwa inamaana hayo hamuyaoni ninyi wanaukiwa!!! Hapa kazi tu!
  3. M

    JamiiForums Tanzania Magufuli kumfilisi Lowassa

    Bora hata yy chato kuna barabara za rami zenye viraka! Je mamvi kawafanyia nn huko monduli?. Kuwa makini mburula ww!
  4. M

    JamiiForums Tanzania CCM Wapo Hoi Kanda Ya Ziwa, Watumia Jina La Heche Vibaya

    Akili zako hazikutoshi ww! WaTanzania tunachagua mtu kuwa Raisi na sio kabila! Kwa uongo huo hujatushawishi bado kajipange. Hapa Kazi Tu!
  5. M

    JamiiForums Tanzania Utabiri: UKAWA Kuibuka washindi dhidi ya CCM. Kikwete kusalimu Amri kwa Lowassa

    Huo ni utabiri wako wa kwenye kahawa mburula ww! Tarehe 25 ndo mtampeleka mgonjwa wenu ICU.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mbowe: Kikwete ameteua wanajeshi na watu wa usalama kuwa wakuu wa tume ya uchaguzi

    Mbowe mfa maji haishi kutapatapa na hizi ni ishara za kushindwa uchaguzi mkuu! Sikuzote mafanikio hayana shortcut mlidhani Lowassa ndo mkombozi wenu basi imekula kwenu kwani hata yy Edo mwanzo kipindi mnamkaribisha kwenye chama cha mzee mtei alidai kura zake hazito ibiwa na atashinda asubuhi...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mbatia atofautiana na Lowassa

    We nae ni mbulula kweli! Kwa hyo lowassa akiliwa tigo na ww unaliwa?
  8. M

    JamiiForums Tanzania Timu ya kampeni ya Dr. Magufuli yasambaratika

    Tuwe na utamaduni wa kuheshimu na kutilia shaka katika kila tafiti zinazofanywa na tasisi mbalimbali kama vile TWAWEZA n.k hususa katika kipindi hiki nyeti kuelekea uchaguzi mkuu lakini tukumbuke kuwa tafiti kama hizi hazifanyiki TZ tu bali duniani kote na hasa hasa katika nchi zilizo endelea so...
  9. M

    JamiiForums Tanzania James Mbatia 'live' on ITV kuhusu matukio ya kisiasa kipindi hiki cha kampeni!

    Mbatia mbona sikusikii ukiongelea migogoro iliyopo kwenye chama chako? Lakini linapo kuja suala la UKAWA ww ndo unakuwa kimbelembele kulisemea, hizo ni dalili tosha za kutuaminisha sisi wananchi kuwa mnaagenda yenu binafsi na wala si kuwatumikia wananchi kama mnavyo jinadi. Sidanganyikiiiii HAPA...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Nimewadharau sana Clouds tv asubuhi hii.

    Sio kila kilicho andikwa kwenye magazeti lazima kisomwe vingine havina mashiko kwa jamii.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Hatari ya CCM kukosa majimbo yote Dar

    Acha uongo.
Back
Top Bottom