Recent content by Mkwere

  1. M

    CALL FOR SUPPORT: To Build or not To Build - The Serengeti Highway saga

    Watanzania wenzangu embu tuache kuburuzwa na sifa za wanasiasa, tuwe na msimamo wa kusimamia ukweli. Kile ambacho kinastahili kutetewa kitetewe sio kukata tamaa kuwa Raisi kashaamua basi tuache tu. Angali hiyo executive summary ilivyo ya ajabu. Kweli unaweza kufanya mitigation ya baada ya...
  2. M

    CALL FOR SUPPORT: To Build or not To Build - The Serengeti Highway saga

    Hiyo executive summary ya EIA yenyewe iko shallow kupita maelezo.
  3. M

    CALL FOR SUPPORT: To Build or not To Build - The Serengeti Highway saga

    Ilishawekwa kwenye thread nyingine. Mods unganisheni threads za Serengeti highway tuwe na mtiririko mzuri.
  4. M

    CALL FOR SUPPORT: To Build or not To Build - The Serengeti Highway saga

    Maneno ya kipumbavu kwa mustakabali wa taifa letu.
  5. M

    Lt-General Faustin Kayumba Nyamwasa Shot in South Africa

    Wamejaza kibao kwenye system......wana-act kama double agents! Huyo aliyemaliza kazi yake South angefanikiwa kuchomoka salama angeenda kula pensheni Kigali asingerudi bongo.
  6. M

    Lt-General Faustin Kayumba Nyamwasa Shot in South Africa

    JOHANNESBURG — South Africa's foreign ministry says foreign "security operatives" were involved in the shooting of an exiled Rwandan general. Foreign Ministry official Ayanda Ntsaluba told South Africa's Press Association that the shooting of Lt. General Kayumba Nyamwasa last month near his...
  7. M

    World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

    Brazil anapachikwa goli la pili hapa
  8. M

    Watanzania Wengi ni Wavivu? The Moment of Truth!

    Kiswahili kizuri lakini hakina ukweli
  9. M

    Kikwete's 'Maisha Bora kwa Kila Mtanzania'

    Yeah.....you cant shave hair from a man's head in his absence!
Back
Top Bottom