Huna jinsi au njia yoyote kukataa Kodi, kila bidhaa unayonunua imewekewa kodi indirect tax.
Na ukifungua biashara ukagoma kulipia kodi wanapiga kufuli.
Njia za kuondokana na kusalimika na huu ubabe, na manyanyaso, tambo na kejeli ni MUNGU anajua.
Angalau amehoji kuonyesha kujali. Umemsikia CCM yeyote akihoji ???
Na umesikika wanajigamba wanamiliki Vyombo vyote vya ulinzi na Usalama, which is true..
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.