Recent content by MKWELI12

  1. M

    Narumu village in Kibosho

    Kwa mafumbo dada! nakuzimia! Lazima una mzigo wa shanga kiunoni!
  2. M

    Narumu village in Kibosho

    Shida siyo Lugha peke yake, Kupitia maandishi ni rahisi kutambua uwezo wa akili ya mtu. Hebu ona ujmbe ulioleta kwa JF kama una uwiano!! Angalia umri wa watoto hao kama wanaweza kweli kutoa majibu uliyoandika. Ona lugha uliyotumia kuwaletea wana JF. Kwani ilikuwa lazima kutumia lugha ya kigeni...
  3. M

    Hili nalo linahitaji shule?

    Imekuwa ni jambo la kawaida kufika ofisi ya serikali na kukuta huduma zilizoandaliwa kwa ajili ya "wahudumiwa" zina mapungufu yaliyoachwa bila kuwekwa sawa kwa makusudi ya wazi. Kwa mfano Tembelea ofisi ya usajili wa vizazi na vifo Mbeya(RITA) Ukutani pamebandikwa fomu ya mfano jinsi ya kujaza...
  4. M

    Je! Umewahi kukutana na Gari zenye Namba Mpya lakini ni chakavu kuliko yako ulonayo?

    unataka kusema nini? Namba mpya hupewa gari au chombo chochote cha moto kinaposajiliawa kwa mara ya kwaza nchini. Au ukomo wa mawazo yako ndipo ulipoishia? kwa kiwango chako cha ufahamu unadhani huwezi kuingiza gari toka Kenya,Uganda ,Burundi wala Zambia? Usiwe mshamba wa mambo kaka. Jf ni ya...
  5. M

    Maandamano yasiyo na kibali ya waendesha bodaboda nchini.

    Ni jambo la kusikitisha kuona kuona Wenye dhamana ya kulinda sheria na udhibiti wa vyombo vya moto(pikipiki) wakifumbia macho tabia ya waendesha pikipiki maarufu kama bodaboda kuandamana kila inapotokea mmoja wao kugogwa na gari. Wanaandamana huku wakiendesha pikipiki zao kwa fujo ya kuogofya na...
  6. M

    Mbeya na Kilimanjaro: Siri ya mafanikio yao ni nini?

    Mada hii ni kama inapwaya!!!! Tujifunze siri ya mafanikio ili tujikomboe na siyo kuzungumia historia za kijinga za kubuni. Umeishiwa hoja funga domo lako kama bakuli.......shwaini!
  7. M

    Narumu village in Kibosho

    Najiuliza kama kweli Mtoa mada alikuwa na nia ya kujenga au kuna agenda ya siri nyuma ya mada yake. Hivi kwa umri wa hawa watoto wa kijijini inaingia akilini kuwa wanaweza kutoa majibu uliyoandika!! Doctor,Police,Engineer
  8. M

    Maendeleo ya jamii ya wanarumu

    Rejea mjadala wa siku za nyuma na uchangiaji wake hapo chini ndiyo chanzo cha mimi kufunguka! Ni baada ya kubaini kuwa kuna watu wako nyuma ya habari........ 1- When i met these little boys at a village called Narumu in Kibosho (Kilimanjaro Region) and asked them about who they wanna be in...
  9. M

    Maendeleo ya jamii ya wanarumu

    Narumu ni eneo linalopakana na Lyamungo,Machame na Kibosho. Na ni sehemu ya Wilaya ya hai. Ni vema kutambua kuwa jamii yoyote hapa duniani ipo katiaka mchakato wa maendeleo usiokoma. Ni ufinyu wa mawazo kuzungumzia maendeleo ya jamii Fulani kwa miaka 30 iliyopita kuwa ndiyo muonekanao wa sasa...
Back
Top Bottom