Recent content by mkweli sister

  1. M

    JamiiForums Tanzania We mwanaume unikome!

    kweli habebeki
  2. M

    JamiiForums Tanzania Wanaume mnatongoza achaneni kabisa na haya maswali

    just magine? hivi mwanamke akikuuliza una kazi gani utajiskiaje m,kuu
  3. M

    JamiiForums Tanzania Wanaume mnatongoza achaneni kabisa na haya maswali

    wewe mwenyewe kazi
  4. M

    JamiiForums Tanzania Wanaume mnatongoza achaneni kabisa na haya maswali

    hatujakataa kuuliza ila kama unavosema sio vizuri kuuliza direct
  5. M

    JamiiForums Tanzania Wanaume mnatongoza achaneni kabisa na haya maswali

    kama kafa kwa ngoma nitakuambia?
  6. M

    JamiiForums Tanzania Wadada acheni kuishi maisha ya utapeli

    hahaaa haitokaa itokee mi najiheshimu bna mi nafata mziki tu
  7. M

    JamiiForums Tanzania Wadada acheni kuishi maisha ya utapeli

    anaombwa ampangie mtu chumba mjini wakati mwenyewe hata hakai mjini . hahaaa mkuu leo twende master club kwa wazee wenzetu hakuna kupangishiana vyumba
  8. M

    JamiiForums Tanzania Wanaume mnatongoza achaneni kabisa na haya maswali

    kwanini?
  9. M

    JamiiForums Tanzania Wanaume mnatongoza achaneni kabisa na haya maswali

    eti.wewe jua nipo single,na kama unataka kuwa na mimi poa tupange tunaishi vipi.mambo ya zamani ya nini? mimi nipo single nifanyeje why tuchoshane?
  10. M

    JamiiForums Tanzania Wanaume mnatongoza achaneni kabisa na haya maswali

    kuna mambo yatajiset tu yenyewe mkuu.usipanie sana
  11. M

    JamiiForums Tanzania Wanaume mnatongoza achaneni kabisa na haya maswali

    ni haki mkuu?
  12. M

    JamiiForums Tanzania Wanaume mnatongoza achaneni kabisa na haya maswali

    sijawai kuulizwa.ila hata kama mkiuliza mnadhani mtapata majibu sahihi? au mnauliza tu? mpaka unamfata mwanamke unakuwa unataka nini?
Back
Top Bottom