Shocking revelation: wateja wakubwa wa sex toys ni wababa

Hivi hizo dildo sijui toys huwa zinafananaje? Huwa naona zinatajwa tu humu!
IMG_20171117_224031_698.jpg
 
mshana jr sio kila mtu mwenye maumbile ya kiume ni mwanaume.
Kwenye wanaume 100 kuna wanaume walio kamilika 16 tu.
54 wana low sperm count
7 mashoga
33 hawana nguvu za kiume kutokana na punyeto, magonjwa ya zinaa, ulevi ulio kithiri wa pombe, madawa ya kulevya etc, kisukari na magonjwa mengine ya muda mrefu
Mmmmh
 
Mwanaume wa kweli anatumia magazeti, mifuko ya smenti (Iringa kwetu tunaitaga semendi), mabunzi ya mahindi na mawe.
Duuuuu yaani unajiingiza gunzi si bora hata hao wanaonunua dildo. Wanaume wa mikoani mna matatizo sana
 
Back
Top Bottom